Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

Naona kiza kimetanda
 
nikazie tu kuwa CRJ ni Canadair Regional Jet za kampuni ya Bombardier

Mwanzo 4:
9 Baadaye, Yehova akamuuliza Kaini: “Yuko wapi Abeli ndugu yako?” naye akajibu: “Sijui. Kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?” 10 Basi Mungu akasema: “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia kwa sauti kutoka ardhini.

(NWT)
 

Inawezekana kahisa maan mfumo wa utawala wao unafanana ni copy paste kwahiyo wanasaidiana na ndio maana wana uhakika wa kukaa madarakani miaka yote.

Hii mbinu lazima ni ya Ki-CIA.

Ukiwa huko kutoka ni ngoma, kwanza nani atakuona au hata kukutoa atatumia mbunu gani??

Duuh jamaa wanatumia hadi Helikopita??
 
Tayari imeshaanza kulia, juzi tu kapata Heart attack akasurvive, nakuhakikishia hamalizi miaka miwili mbele.
 
utakuja na hadithi za kila aina, huku CCM inachanja mbuga

Haya mambo yanayaongelewa hapa ni zaidi ya hiyo ccm. Kwenye mambo haya ccm inatumika tu kama blanketi la kufunika ukweli. Kwa maneno marahisi haya yanayoongelewa hapa yako nje ya uwezo wako wa kufikiri. Uzi huu watakuja wazee wa suti nyeusi kupitia kwa umakini nini kinazungumzwa.
 
Ndugu yangu ukiamua kuweka mambo weka kabisa hata kurasa kibao... Ikisema itaendelea kwenye vitu kama hivi.. Huwezi ijua kesho yako ... File zenye secrets huwa hazitoki vipandevipande ndugu Britannica

Mkuu huu uandishi wako kuna umakini fulani, kwa wanaojua kusoma between the lines watafahamu ww ni wa aina gani. Anyway, ngoja tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
 
Hakuna kiongozi wa inchi atawaacha salama watu watakao atarisha usalama wake na taifa kwa ujumla,

Vinara wa kutetea haki za binadamu wana magereza mfano wa gwantanamo makhsusi kwa ajili ya kuwafanyia matendo ya kinyama binadamu kama wao
 
Story za kufikirika lakini kwa sababu umeshaileta hapa JF mbuga ya serengeti lazima utawapata nyumbu mkuu.
Naona unaanza kuogopa clues..

Lazima uanze kufikiria kwanza ndiyo uanze kutafuta evidence. Naona kabisa sasa kunaanza kukucha.

Kama ni mbowe ajiandae tu,hamna namna uwapeleke raia uhamishoni bila serikali kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…