Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

Rwanda pekee ndo kuna huo ushenzi
 
Ndugu yangu ukiamua kuweka mambo weka kabisa hata kurasa kibao... Ikisema itaendelea kwenye vitu kama hivi.. Huwezi ijua kesho yako ... File zenye secrets huwa hazitoki vipandevipande ndugu Britannica
anamaanisha doti na doti. ukimwaga mboa yote kuna mabingwa wa kuzoa na kupanch. Weka doz inayofaa kutibu maleria.
Watakuja kupanch, hapo ndio doz ingine inafuata na filamu kunoga, WAJE au mukuje zaidi SASA............
 
Write your reply...Ngumu kumeza hii tuseme ben8 , azory na wengineo wapo huko
Kwa hiyo wewe umewaona hao tuu..
Kuna ambao wapo tangu enzi ya mwinyi saa hivi ni wazee hadi ukiwaambia kwenu wapi wanakuambia hapa hapa yaani akili zao zishabadilisha kimazingara ya jela ..
Usiniulize swali.. naomba niishie hapo
 
Tag me once resume this story sir
 

Naona na Wewe Siku hizi umeanza ' Kutumika ' katika Kuifanyia ' Propaganda ' mbaya nchi ya Rwanda na Utawala wa Rais Paul Kagame Mkuu. Ya Kwenu nchini Tanzania mmeshayamaliza hadi muanze ' Kuwashwawashwa ' na ya Rwanda? Kwa ' Upuuzi ' huu ' Vikosi Maalum ' vikiingika Kazini kwa ajili yako / yenu na yakawakumbeni kama Yule ' Mpuuzi ' wenu Mmoja aliyekuwa akiishi Ilala Flats jirani na Kampuni ya Bia na Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko mtalaumu? Kuwa makini Mkuu sawa? Rwanda inaheshimu sana Haki za Binadamu na Ustawi wao na wala hakuna Kitu kama ulichokileta hapa ila nia yako Kuu ni ' Kuichafua ' Rwanda ya Watutsi wengi na ya Rais Kagame. Bado nasisitiza kuwa makini japo najua ya kwamba hata Wewe pia una ' Mafunzo ' yako na upo vyema ila unaweza ukawa unazidiwa kidogo kisha ukaja Kushangaa na usiamini kabisa.
 
Hiii kule mitaani tunaita mikwara bubu. Yaani kumtishia nyau mtu mzima.
 
Hao walioko huko wakilazimishwa kukiri hayo makosa then waanchiwa au wanahukumiwa kwenye mahakama za kiraia au za kijeshi,?

Au wakilazimishwa kukiri makosa adhabu yao ni kifo vile vile?

Kwanini wawalazimishe kukiri makosa kama hawahukumiwi kwenye mahakama za wazi, nini logic ya kulazimishwa kukiri hayo makosa,?.

Ikiwa wameweza kuwateka na wamefanikiwa kuendelea kuwaweka mafichoni, naamini wanaweza kuwaua hata tusifahamu kama walitekwa na kuuwawa, sasa kwanini kuwe na ulazima kwao kulazimishwa kukiri haya makosa?

Umewahi kukutana na yeyote aliyeachiwa baada ya kukiri makosa yake na akatoka huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…