Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanatekwa na pia naona matukio ya utekaji yameanza kupungua sanaUzushi wa ovyo, japo watu kweli wanatekwa, ila sio kwakupelekwa nchi jirani
Rwanda pekee ndo kuna huo ushenziPale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji
"Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati mbali mbali , wakaona mazungumzo yetu, suala ambalo liliwaghadhabisha wakaitana Kwa redio zao wakanifunga kitambaa usoni huku mke wangu na mama na watoto wakiishia kuwekewa bastola kwenye mbavu,
Sikuelewa nilipelekwa wapi mpaka hapo nilipohisi Kama vile nimepandishwa helkopta ,baada ya kufika nikahisi Lugha imebadilika kikawa kinyarwanda nikashangaa mbona haya mambo yanaenda kuwa makubwa,
Nilifunuliwa macho nikakuta nipo ndani ya vyuma huku mikono yangu ikisikilizia baridi za vyuma namaanisha pingu,
Kuna watu wengi na baadhi ya ndugu kutoka taifa letu ambao wapo kule Kwa muda mrefu pengine hata ndugu zao wamesha kata tamaa na kuhisi walikufa maana wengi hawana wazo kama wanaweza kuvushwa kwenda nchi jirani,
Baada ya kukaa pale miaka miwili niliteswa kila wakati na watu walionitesa ni wale wanaojua Lugha yangu
Nilishangaaa kuulizwa nyaraka mbalimbali ambazo sina hata uwezo wa kuzipata,
walikuwa wakimaliza kunihoji wanawasiliana na jamaa mmoja lakin katika kila Mazungumzo jina Deusi lilikuwa likitawala"
itaendelea
Put in Mind sijataja nchi wala Lugha ya Msimuliaji
JINSI ALIVYOWEZA KUTOKA NA NI WATU GANI ALIYOWAYAMBUA NA KUJUA KUWA WAPO KULE
Britannica
anamaanisha doti na doti. ukimwaga mboa yote kuna mabingwa wa kuzoa na kupanch. Weka doz inayofaa kutibu maleria.Ndugu yangu ukiamua kuweka mambo weka kabisa hata kurasa kibao... Ikisema itaendelea kwenye vitu kama hivi.. Huwezi ijua kesho yako ... File zenye secrets huwa hazitoki vipandevipande ndugu Britannica
Afadhali kama wako hukoWrite your reply...Ngumu kumeza hii tuseme ben8 , azory na wengineo wapo huko
Mkuu watu serious na wenye info huwa hawajitapi. Story yako ni ya kufikirika na hii sio ya kwanza kuja nayo.Itakuwa hunijui vema
Duh wapiga ramli wa JF. Si mlisema kafa na yuko Ujerumani?Tayari imeshaanza kulia, juzi tu kapata Heart attack akasurvive, nakuhakikishia hamalizi miaka miwili mbele.
Kwa hiyo wewe umewaona hao tuu..Write your reply...Ngumu kumeza hii tuseme ben8 , azory na wengineo wapo huko
Msaidizi wa Zitto hakupelekwa mombasa Kenya?Uzushi wa ovyo, japo watu kweli wanatekwa, ila sio kwakupelekwa nchi jirani
Usimsingizie shetani wa watu ni lini umemwona huyo shetani kamkamata mtu akampeleka hukoAisee mkuu shetani mbaya sana kumbe ndio anawapelekaga huko.
Tag me once resume this story sirPale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji
"Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati mbali mbali , wakaona mazungumzo yetu, suala ambalo liliwaghadhabisha wakaitana Kwa redio zao wakanifunga kitambaa usoni huku mke wangu na mama na watoto wakiishia kuwekewa bastola kwenye mbavu,
Sikuelewa nilipelekwa wapi mpaka hapo nilipohisi Kama vile nimepandishwa helkopta ,baada ya kufika nikahisi Lugha imebadilika kikawa kinyarwanda nikashangaa mbona haya mambo yanaenda kuwa makubwa,
Nilifunuliwa macho nikakuta nipo ndani ya vyuma huku mikono yangu ikisikilizia baridi za vyuma namaanisha pingu,
Kuna watu wengi na baadhi ya ndugu kutoka taifa letu ambao wapo kule Kwa muda mrefu pengine hata ndugu zao wamesha kata tamaa na kuhisi walikufa maana wengi hawana wazo kama wanaweza kuvushwa kwenda nchi jirani,
Baada ya kukaa pale miaka miwili niliteswa kila wakati na watu walionitesa ni wale wanaojua Lugha yangu
Nilishangaaa kuulizwa nyaraka mbalimbali ambazo sina hata uwezo wa kuzipata,
walikuwa wakimaliza kunihoji wanawasiliana na jamaa mmoja lakin katika kila Mazungumzo jina Deusi lilikuwa likitawala"
itaendelea
Put in Mind sijataja nchi wala Lugha ya Msimuliaji
JINSI ALIVYOWEZA KUTOKA NA NI WATU GANI ALIYOWAYAMBUA NA KUJUA KUWA WAPO KULE
Britannica
Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji

Hiii kule mitaani tunaita mikwara bubu. Yaani kumtishia nyau mtu mzima.Naona na Wewe Siku hizi umeanza ' Kutumika ' katika Kuifanyia ' Propaganda ' mbaya nchi ya Rwanda na Utawala wa Rais Paul Kagame Mkuu. Ya Kwenu nchini Tanzania mmeshayamaliza hadi muanze ' Kuwashwawashwa ' na ya Rwanda? Kwa ' Upuuzi ' huu ' Vikosi Maalum ' vikiingika Kazini kwa ajili yako / yenu na yakawakumbeni kama Yule ' Mpuuzi ' wenu Mmoja aliyekuwa akiishi Ilala Flats jirani na Kampuni ya Bia na Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko mtalaumu? Kuwa makini Mkuu sawa? Rwanda inaheshimu sana Haki za Binadamu na Ustawi wao na wala hakuna Kitu kama ulichokileta hapa ila nia yako Kuu ni ' Kuichafua ' Rwanda ya Watutsi wengi na ya Rais Kagame. Bado nasisitiza kuwa makini japo najua ya kwamba hata Wewe pia una ' Mafunzo ' yako na upo vyema ila unaweza ukawa unazidiwa kidogo kisha ukaja Kushangaa na usiamini kabisa.
Waelekea KATORO ipi mkuu ya geita au ya bukoba?britanicca nitag pls naelekea katoro mida hii kuna sehemu nikifika sintokuwa online mpaka monday ntakapotoka huko, sitaki kuupotea huu uzi.
Jamaa unaongea kama wewe ni mungu au daktari wake.Tayari imeshaanza kulia, juzi tu kapata Heart attack akasurvive, nakuhakikishia hamalizi miaka miwili mbele.