Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

Kwa nilivyokuelewa tangu uanze hizi mada, ni kwamba ndiko aliko B.S.

Hata mimi naamini pasipo shaka kuwa siku moja Ben Saanane ataibuka! Kafichwa mahala, sio rahisi kutoa roho ya mtu kihivyo!!!
 
Ndugu yangu ukiamua kuweka mambo weka kabisa hata kurasa kibao... Ikisema itaendelea kwenye vitu kama hivi.. Huwezi ijua kesho yako ... File zenye secrets huwa hazitoki vipandevipande ndugu Britannica
Ni kweli mkuu, hata hivyo baadhi yetu Tunajua vizuri kabisa Hii ishu, na nchi pia,
 
Story za kufikirika lakini kwa sababu umeshaileta hapa JF mbuga ya serengeti lazima utawapata nyumbu mkuu.
Kinachonifurahisha Kila dk na Kila sekunde ni kwamba mungu wenu tayari anaongoza malaika wa kuzimu aliokuwa akiota kuwaongoza, paparikeni dakika za mwisho kisha mjifungie na kuanza kulia kabla hamjapotea wote humu kwa aibu
 
Kwa hiyo wewe umewaona hao tuu..
Kuna ambao wapo tangu enzi ya mwinyi saa hivi ni wazee hadi ukiwaambia kwenu wapi wanakuambia hapa hapa yaani akili zao zishabadilisha kimazingara ya jela ..
Usiniulize swali.. naomba niishie hapo
Mara ya mwisho uliwasiliana nao lini huko gerezani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…