Kwa nilivyokuelewa tangu uanze hizi mada, ni kwamba ndiko aliko B.S.
Hata mimi naamini pasipo shaka kuwa siku moja Ben Saanane ataibuka! Kafichwa mahala, sio rahisi kutoa roho ya mtu kihivyo!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nilivyokuelewa tangu uanze hizi mada, ni kwamba ndiko aliko B.S.
HahahaaaJamaa unaongea kama wewe ni mungu au daktari wake.
Usijiapize weka akiba ya maneno, Kwani lema kaishia wapi na ndoto zake na utabiri?
Jinga kweli wewe,utakuja na hadithi za kila aina, huku CCM inachanja mbuga
Ni kweli mkuu, hata hivyo baadhi yetu Tunajua vizuri kabisa Hii ishu, na nchi pia,Ndugu yangu ukiamua kuweka mambo weka kabisa hata kurasa kibao... Ikisema itaendelea kwenye vitu kama hivi.. Huwezi ijua kesho yako ... File zenye secrets huwa hazitoki vipandevipande ndugu Britannica
Kinachonifurahisha Kila dk na Kila sekunde ni kwamba mungu wenu tayari anaongoza malaika wa kuzimu aliokuwa akiota kuwaongoza, paparikeni dakika za mwisho kisha mjifungie na kuanza kulia kabla hamjapotea wote humu kwa aibuStory za kufikirika lakini kwa sababu umeshaileta hapa JF mbuga ya serengeti lazima utawapata nyumbu mkuu.
Aisee kumbe"Magu hana uo muda wa kumuweka Mtu muda wote huo"
Mara ya mwisho uliwasiliana nao lini huko gerezani?Kwa hiyo wewe umewaona hao tuu..
Kuna ambao wapo tangu enzi ya mwinyi saa hivi ni wazee hadi ukiwaambia kwenu wapi wanakuambia hapa hapa yaani akili zao zishabadilisha kimazingara ya jela ..
Usiniulize swali.. naomba niishie hapo
Ni kweli kabisa mkuu ,Unadhani zile maiti zilizokuwa zinaokotwa Coco beach zikielea na zile za Ruvu unaungana na Musiba kuwa zilielea kutoka Somalia hadi Tanzania?Mimi nimehamia upinzani ila huu uzushi unaopikwa kila siku sasa imekuwa too much
Ni kweli tupu mkuuSiwezi kupuuza habari hii!
Hapa duniani mtu ukitaka kuishi kwa raha wachana kabisa na mambo ya siasaDuu pole Sana mjomba
utakuja na hadithi za kila aina, huku CCM inachanja mbuga
Naona vijana wa FB wamevamia jukwaa,form four ya 2012 kazini.
Ukiwemo wewe mkuu wa Manyuumbu wa mbugani lumumbaStory za kufikirika lakini kwa sababu umeshaileta hapa JF mbuga ya serengeti lazima utawapata nyumbu mkuu.
Itakuwa hunijui vema
britanicca nitag pls naelekea katoro mida hii kuna sehemu nikifika sintokuwa online mpaka monday ntakapotoka huko, sitaki kuupotea huu uzi.
Anaua tu!"Magu hana uo muda wa kumuweka Mtu muda wote huo"
Yaonyesha wewe uliyejiunga JF 2019 May 16, utakuwa ni form four leaver wa 2012. Pole sana kwa mass failure ya shuleni kwako.Naona vijana wa FB wamevamia jukwaa,form four ya 2012 kazini.
Haya mambo we Bwaa mdogo huyawezi!!! We endelea na Uzinzi waachie wenye vipawa vyao!!!Ukimaliza kuandika story za abunuasi kojoa kalaleee...!! Msalimie fwala mwenzio kigogo
Napingana na imani yako mkuu! Refer tukio la T A LissuHata mimi naamini pasipo shaka kuwa siku moja Ben Saanane ataibuka! Kafichwa mahala, sio rahisi kutoa roho ya mtu kihivyo!!!