britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji
"Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati mbali mbali , wakaona mazungumzo yetu, suala ambalo liliwaghadhabisha wakaitana Kwa redio zao wakanifunga kitambaa usoni huku mke wangu na mama na watoto wakiishia kuwekewa bastola kwenye mbavu,
Sikuelewa nilipelekwa wapi mpaka hapo nilipohisi Kama vile nimepandishwa helkopta ,baada ya kufika nikahisi Lugha imebadilika kikawa kinyarwanda nikashangaa mbona haya mambo yanaenda kuwa makubwa,
Nilifunuliwa macho nikakuta nipo ndani ya vyuma huku mikono yangu ikisikilizia baridi za vyuma namaanisha pingu,
Kuna watu wengi na baadhi ya ndugu kutoka taifa letu ambao wapo kule Kwa muda mrefu pengine hata ndugu zao wamesha kata tamaa na kuhisi walikufa maana wengi hawana wazo kama wanaweza kuvushwa kwenda nchi jirani,
Baada ya kukaa pale miaka miwili niliteswa kila wakati na watu walionitesa ni wale wanaojua Lugha yangu
Nilishangaaa kuulizwa nyaraka mbalimbali ambazo sina hata uwezo wa kuzipata,
walikuwa wakimaliza kunihoji wanawasiliana na jamaa mmoja lakin katika kila Mazungumzo jina Deusi lilikuwa likitawala"
itaendelea
Put in Mind sijataja nchi wala Lugha ya Msimuliaji
JINSI ALIVYOWEZA KUTOKA NA NI WATU GANI ALIYOWAYAMBUA NA KUJUA KUWA WAPO KULE
Britannica

Usiku wa manane,ndege aina ya CRJ,mali ya nchi moja ya maziwa makuu,kwa kutumia magari meusi,ilibadilishana "wafungwa wa kuteswa" sababu ya kuupinga uongozi wa watawala wa pande zote mbili.