Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni riwaya ya fiction au!??Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji
"Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati mbali mbali , wakaona mazungumzo yetu, suala ambalo liliwaghadhabisha wakaitana Kwa redio zao wakanifunga kitambaa usoni huku mke wangu na mama na watoto wakiishia kuwekewa bastola kwenye mbavu,
Sikuelewa nilipelekwa wapi mpaka hapo nilipohisi Kama vile nimepandishwa helkopta ,baada ya kufika nikahisi Lugha imebadilika kikawa kinyarwanda nikashangaa mbona haya mambo yanaenda kuwa makubwa,
Nilifunuliwa macho nikakuta nipo ndani ya vyuma huku mikono yangu ikisikilizia baridi za vyuma namaanisha pingu,
Kuna watu wengi na baadhi ya ndugu kutoka taifa letu ambao wapo kule Kwa muda mrefu pengine hata ndugu zao wamesha kata tamaa na kuhisi walikufa maana wengi hawana wazo kama wanaweza kuvushwa kwenda nchi jirani,
Baada ya kukaa pale miaka miwili niliteswa kila wakati na watu walionitesa ni wale wanaojua Lugha yangu
Nilishangaaa kuulizwa nyaraka mbalimbali ambazo sina hata uwezo wa kuzipata,
walikuwa wakimaliza kunihoji wanawasiliana na jamaa mmoja lakin katika kila Mazungumzo jina Deusi lilikuwa likitawala"
itaendelea
Put in Mind sijataja nchi wala Lugha ya Msimuliaji
JINSI ALIVYOWEZA KUTOKA NA NI WATU GANI ALIYOWAYAMBUA NA KUJUA KUWA WAPO KULE
Britannica
HakikaNdugu yangu ukiamua kuweka mambo weka kabisa hata kurasa kibao... Ikisema itaendelea kwenye vitu kama hivi.. Huwezi ijua kesho yako ... File zenye secrets huwa hazitoki vipandevipande ndugu Britannica
Kwa nilivyokuelewa tangu uanze hizi mada, ni kwamba ndiko aliko B.S.
Sio uzushi watu wanachimba hakuna kulala..siri zinavuja kwa kasi ya mwanga "vipepeo wazawa "hawamtakiMimi nimehamia upinzani ila huu uzushi unaopikwa kila siku sasa imekuwa too much
DahNaona hii week imekuwa ya stories, tuone na hii itaishiaje.
Hii comment.Tayari imeshaanza kulia, juzi tu kapata Heart attack akasurvive, nakuhakikishia hamalizi miaka miwili mbele.
Hizi mambo seems zinapangwa but mbona siri zinavuja,afu huenda ni watu walewale Wana ID tofauti na wanafikisha ujumbe kwa namna tofauti tofauti
Hakuna mtu aliyepanga ni mambo ya Mungu tu.Hizi mambo seems zinapangwa but mbona siri zinavuja,afu huenda ni watu walewale Wana ID tofauti na wanafikisha ujumbe kwa namna tofauti tofauti
Killing is the extreme of violence and hatredMbona nao wanakufa hao watawala.
Mtu aliyeelimika Katu hawezi uwa mtu
Mpaka sasa mmefika wapi?utakuja na hadithi za kila aina, huku CCM inachanja mbuga
Sio uzushi watu wanachimba hakuna kulala..siri zinavuja kwa kasi ya mwanga "vipepeo wazawa "hawamtaki
HeheTamu sana na njaa hii