K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Mkuu britanicca tunaomba mwendelezo tafadhali kama itakupendeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NamTamu sana na njaa hii
Sasa hivi wengine waliokuwa Gogoni KUNA chumba kuna watu 36 toka enzi za Magufuli hawatoki nje kabisa wanapewa chakula Mle mleMkuu britanicca tunaomba mwendelezo tafadhali kama itakupendeza
AiseeJamaa unaongea kama wewe ni mungu au daktari wake.
Usijiapize weka akiba ya maneno, Kwani lema kaishia wapi na ndoto zake na utabiri?
😲😲😲Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji
"Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati mbali mbali , wakaona mazungumzo yetu, suala ambalo liliwaghadhabisha wakaitana Kwa redio zao wakanifunga kitambaa usoni huku mke wangu na mama na watoto wakiishia kuwekewa bastola kwenye mbavu,
Sikuelewa nilipelekwa wapi mpaka hapo nilipohisi Kama vile nimepandishwa helkopta ,baada ya kufika nikahisi Lugha imebadilika kikawa kinyarwanda nikashangaa mbona haya mambo yanaenda kuwa makubwa,
Nilifunuliwa macho nikakuta nipo ndani ya vyuma huku mikono yangu ikisikilizia baridi za vyuma namaanisha pingu,
Kuna watu wengi na baadhi ya ndugu kutoka taifa letu ambao wapo kule Kwa muda mrefu pengine hata ndugu zao wamesha kata tamaa na kuhisi walikufa maana wengi hawana wazo kama wanaweza kuvushwa kwenda nchi jirani,
Baada ya kukaa pale miaka miwili niliteswa kila wakati na watu walionitesa ni wale wanaojua Lugha yangu
Nilishangaaa kuulizwa nyaraka mbalimbali ambazo sina hata uwezo wa kuzipata,
walikuwa wakimaliza kunihoji wanawasiliana na jamaa mmoja lakin katika kila Mazungumzo jina Deusi lilikuwa likitawala"
itaendelea
Put in Mind sijataja nchi wala Lugha ya Msimuliaji
JINSI ALIVYOWEZA KUTOKA NA NI WATU GANI ALIYOWAYAMBUA NA KUJUA KUWA WAPO KULE
Britannica
Helikopta ilitua nyumbani kwako! Sare yako mkoraPale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji
"Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati mbali mbali , wakaona mazungumzo yetu, suala ambalo liliwaghadhabisha wakaitana Kwa redio zao wakanifunga kitambaa usoni huku mke wangu na mama na watoto wakiishia kuwekewa bastola kwenye mbavu,
Sikuelewa nilipelekwa wapi mpaka hapo nilipohisi Kama vile nimepandishwa helkopta ,baada ya kufika nikahisi Lugha imebadilika kikawa kinyarwanda nikashangaa mbona haya mambo yanaenda kuwa makubwa,
Nilifunuliwa macho nikakuta nipo ndani ya vyuma huku mikono yangu ikisikilizia baridi za vyuma namaanisha pingu,
Kuna watu wengi na baadhi ya ndugu kutoka taifa letu ambao wapo kule Kwa muda mrefu pengine hata ndugu zao wamesha kata tamaa na kuhisi walikufa maana wengi hawana wazo kama wanaweza kuvushwa kwenda nchi jirani,
Baada ya kukaa pale miaka miwili niliteswa kila wakati na watu walionitesa ni wale wanaojua Lugha yangu
Nilishangaaa kuulizwa nyaraka mbalimbali ambazo sina hata uwezo wa kuzipata,
walikuwa wakimaliza kunihoji wanawasiliana na jamaa mmoja lakin katika kila Mazungumzo jina Deusi lilikuwa likitawala"
itaendelea
Put in Mind sijataja nchi wala Lugha ya Msimuliaji
JINSI ALIVYOWEZA KUTOKA NA NI WATU GANI ALIYOWAYAMBUA NA KUJUA KUWA WAPO KULE
Britannica
Hao wapo chini ya ulinzi na mateso au wanafanya kazi nyeti?Sasa hivi wengine waliokuwa Gogoni KUNA chumba kuna watu 36 toka enzi za Magufuli hawatoki nje kabisa wanapewa chakula Mle mle
MWISHO ukifikaYana mwisho haya yote
Yote ni ubatili tu