Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hahaha! I ddnt know I'm such a smart a*s,lol! Gotcha! Uliwaza nini kuwa na I'd name hii, sera zinakupungukia eeh? Siri yetu,ukiniudhi tena nakusemea kwa mwita25!
Tajiri wa sera mimi wewe na kamwe haziwezi kunipungukia. So if you want to shoot then shoot. Don't talk. Okay?
Ua ndiyo,lakini sometimes linasinyaa
Mjomba angu aliamua kuoa house girl tu aliona mke wake hakuna anacho kifanya watoto analea house girl kufua anafua house girl chakula anapika house girl kila kitu anafanya house girl basi akaamua hata penzi awe anampa house girl na hakuona umuhimu wa kukaa na mke wake maana alikuwa anajaza nafasi na kumuingiza hasara.
na nyie mmezidi lawama mno.mke ni ua
nyie wanaume banaa, mna akili kuliko sie lakini hamuwezi kuzitumia. mwanamke ukimjulia atakuhudumia kama punda na hachoki! kama na ww uko kwa pc na jf afu unasema 'naomba chai', hata humuangalii usoni mkeo unadhani atafanyaje zaidi ya ku-shout 'dadaaaa, chaiiiii'! badala ya kumvuta mkeo, umnyang'anye remote na kumbusu kidogo umuambie mke wangu,nna hamu na chai yako manake dada hajui kutengeneza chai kama ww. undahani atakataa? umetamani harufu naturale ya mkeo, ushamuambia 'mpenzi, usipulizie perfume leo,nna hamu na harufu yako mwenyewe..' halafu akakujibu kwa ujeuri?
unakaribisha shida baba. utatembea na huyo dada na watoto wako watakiona cha moto! kuna moto wa mama yao, na wa dada anayejitahidi awe mama yao. urudi hapa professor tutakushauri tena ukishavaa balaa
Profesa, angalia hapo red - huyo ni sawa na mtoto wako, mfunze heshima hayo ya kuvaa kanga moja ni ishara kuwa hakuheshimu, anakutegeshea. Usipoangalia, nyumba yako itabomoka na utakutwa na aibu.Usisahau asubuhi nikiamka ninaekutana nae ni dada, kafunga kanga moja na kama kawa anaandaaa chai fasta na kwa heshima zote, usisahau mambo yote ya mtoto anasimamia dada, kumuogesha kula na akilia anambembeleza yeye... na mama kasisitiza alipwe elfu 20,00 tena baada ya kusisitiza kwa umakini...
Hatari ni kuwa ukishakuoa HG, anakuwa mke wako, yale yote aliyokuwa anafanya kama HG itakuwa si majukumu yake tena. Itabidi utafute HG mwengine. Mke HG atakuwa kama mke ulomwacha mwanzo, je utao HG mpya? Kiko wapi kikomo chako?Mjomba angu aliamua kuoa house girl tu aliona mke wake hakuna anacho kifanya watoto analea house girl kufua anafua house girl chakula anapika house girl kila kitu anafanya house girl basi akaamua hata penzi awe anampa house girl na hakuona umuhimu wa kukaa na mke wake maana alikuwa anajaza nafasi na kumuingiza hasara.