nyie wanaume banaa, mna akili kuliko sie lakini hamuwezi kuzitumia. mwanamke ukimjulia atakuhudumia kama punda na hachoki! kama na ww uko kwa pc na jf afu unasema 'naomba chai', hata humuangalii usoni mkeo unadhani atafanyaje zaidi ya ku-shout 'dadaaaa, chaiiiii'! badala ya kumvuta mkeo, umnyang'anye remote na kumbusu kidogo umuambie mke wangu,nna hamu na chai yako manake dada hajui kutengeneza chai kama ww. undahani atakataa? umetamani harufu naturale ya mkeo, ushamuambia 'mpenzi, usipulizie perfume leo,nna hamu na harufu yako mwenyewe..' halafu akakujibu kwa ujeuri?
unakaribisha shida baba. utatembea na huyo dada na watoto wako watakiona cha moto! kuna moto wa mama yao, na wa dada anayejitahidi awe mama yao. urudi hapa professor tutakushauri tena ukishavaa balaa