Pale ikulu pale kuna

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Pale ikulu pale pana kitu sote atukijuwi...
Pale ikulu pale sio mahali pa mchezo mchezo wakati mwingine kuta zinaongea....
Pale ikulu pale ukifika hauwendi kufanya vile unataka wewe ila vile wanataka wao...
Pale ikulu pana viboko kwa wote wasio fuwata kile wanapaswa kufanya...
Pale ikulu pale usidharau wale wazee wa mvi nyeupe eti ukafanya utakavyo.... Lazima ukose usingiz kama sio kuwa bundi..
Pale ikulu hayati baba wa taifabado hekima zake zipo na zinaishi kama roho....

Pale ikulu pale yani pale usipopata msaada unaweza piga kelele watu wakasema nini kimotokea kwa mkuu kumbe...
Pale ikulu hakunaa mshikaji wala rafiki unaongozwa na procedure...
Pale ikulu pana msemo usi nyani haoni kundule yani ukiingia waweza kuwaona wengine vilaza ila ukishituka mhhh wagunduwa nyani....
Pana siri kubwa sana pale tuache kick zakijinga nimeongea na rais direct wakati......
Byeee
 
Majungu tu! huna lolote.
Rais Magufuli atatawala miaka 10, mtake msitake.
Mengine ni mapenzi ya muumba

Unafiki Mwisho kwa Magufuli, tumechoka kuendesha nchi kama kijiwe cha kahawa

Lazima tuwapeleke kijeshi, tumechelewa, tinahitaji kukimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kijana kama wewe kuongelea wanga ni janga la kitaifa.
Ukizeeka itakuaje.
Acheni kupaka ina, wakiume nyie, acheni kuwanga, pigeni janta kwa ustawi wa taifa, Majungu si mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmnh ndio maana mkulu,ameng'ang'ania kuhamia Dodoma,lol

pole kwa masahibu Rais wangu.
 
Hatujapata ulichokusudia tukipate mkuu.

mafisadi hayana rangi
 
Angalia move inaitwa a man in black[emoji15] [emoji15]
 

Aliyekuuzia Bange / Bangi leo mwambie akurudishie tu Hela / Pesa yako kwani yawezekana kakuletea Kinyesi cha Fisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…