Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kwangu wameifungaSite gan ya movie wameifungia unataka jaribu netnaija.com wanajitaidi sana sema uvumilie ads za kutosha
Tafuta sites za Movies huko au andika jina la movie yoyote watakuletea chaneli yenye iko na hiyo muvi kisha tafuta bot wa external links aku convertie hiyo link uweze ku download kwa IDM ya laptop/computer yako au downloader manager yoyote utakayopenda kutumia yenye speed mbali na IDM....Nipo telegram nafanyeje sawa
Tafuta VPN ambazo hazijulikani sana au hasa hizi mpya mpya ambazo sio popular ndo utumie kuwa bypass kua nazo hata 5.... Kama utaweza ku afford gharama nunua Nord vpn, Express, HMA au Cyberghost...Nimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili maisha yaendelee??
Hiyo huwes fanya kitu...kitaalam Kama unatumia mtandao wa office huwa wanachinja baazi ya site Kama YouTube,fb na movies site zote katika mtandao wa office...hii hufanyika wakati wa router na switch configuration...wengine watakazia experienceNimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili maisha yaendelee??
Na ndo kilichomkuta mleta mada...ila hajui algorithm behind....wapo wanaocheza na network domains na wengine wanablock kwenye router au switchHongereni mnaoweza kudownnload movie makazini..kuna kampuni moja nilifanya nao..mashine zao zote ni imaged na hauna uwezo wakuinstall Application yoyote huwezi kuweka flash wala CD (zote ziko blocked) na websites zote ambazo ni non work related wameblock. Ukizidisha estimated internet usage kwa siku mfano ukatumia 2gb ndani ya dkk kadhaa wanafuatilia ni nini.
Kama anaupenda ugali wake ni kucomply tu, movie kitu gani unazipata kama zote hata kwa marafiki mtaani, maana ku circumnavigate around the ban kwa njia yoyote haramu ni moja ya sababu yakufukuzwa kazi 👍Na ndo kilichomkuta mleta mada...ila hajui algorithm behind....wapo wanaocheza na network domains na wengine wanablock kwenye router au switch