Unyanyasaji upi kwa mfano?!kama nashawishika na mie kuwatetea hawa walibwende kwa unyanyasaji walio fanyiwa na mr...
kama kuachana na mwanamke halafu unaenda kutangaza media au kumuimba mwanamke uliye naye kwenye mahusiano au uliyeachana naye kama ni Malaya au .....Unyanyasaji upi kwa mfano?!
Maajabu ya Wabongo!! Haya nisaidie wewe:kama kuachana na mwanamke halafu unaenda kutangaza media au kumuimba mwanamke uliye naye kwenye mahusiano au uliyeachana naye kama ni Malaya au .....
Hutakaa upate jibu hapo never ever manake huyo mleta mada mwenyewe nilimuuliza hilo swali siku ya kwanza tu lakini hadi sasa cjapata jibu!Naombeni mnijuze Diamond alimdhalilishaje JOKATE hili kwangu geni
wewe kuelewa mpaka sululu, kuhusu media nenda youtube kaulize huko? na pia utakutana na wimbo unaohusika ngoja nikupe kibwagizo kidogo .... kila siku magazetiMaajabu ya Wabongo!! Haya nisaidie wewe:
1. Alienda media ipi na kutangaza mwanamke yupi kwamba ni Malaya?
2. Kamuimba mwanamke yupi na kwenye wimbo upi kwamba ni malaya?
Kwanini niende Youtube wakati we ndo umeleta hiyo hoja? Youtube kuna millions of video... kwanini usiiweke hapa?! Pia unadai kibwagizo "Kila cku magazeti....!" Kila cku magazeti kufanyaje?wewe kuelewa mpaka sululu, kuhusu media nenda youtube kaulize huko? na pia utakutana na wimbo unaohusika ngoja nikupe kibwagizo kidogo .... kila siku magazeti
ngoja nishangae eti no one cares!!? hali ya kuwa wewe unazungumza hapa na povu limekutoka kama unajiamini nenda youtube ukaone mwenyewe na kuhusu hicho kibwagizo inaonekana wewe si mfutiliaji wa sanaa ya huyu bwana unakumbuka huyu bwana kaimba nyimbo ngapi and can you mention?Kwanini niende Youtube wakati we ndo umeleta hiyo hoja? Youtube kuna millions of video... kwanini usiiweke hapa?! Pia unadai kibwagizo "Kila cku magazeti....!" Kila cku magazeti kufanyaje?
Naona nawe huna tofauti na mleta mada manake tokea Day 1 hajawahi kuweka source yoyote ya madai yake zaidi ya cku moja kuweka ki-blog ambacho hata yeye mwenyewe hakifahamu!
Poleni sana manake hoja zenu zishaonekana obsolete na ndio maana no one cares!!
Maneno machache ninayoweza kukuambia ni kwamba you know nothing about me! Nilichoona kwenye maelezo yako ni total cra'p! Ukitaka kuleta hoja unatakiwa kuleta hoja, ikiwa complete... that's how we do bro!! Sio unaambiwa weka hapa unaishia kusema "nenda you tube!" What for? Kama source yako ni Youtube unatakiwa kuweka hiyo link hapa... that's how things work! Hilo la kibwagizo kwamba eti unaona eti mie sio mfuatiliaji ni kichekesho cha karne mbele ya wanaonifahamu! Narudia, weka hoja hapa... taja hizo nyimbo au wimbo na sio kusema "kibwagizo kila cku magazeti....!" What's the hell is that?ngoja nishangae eti no one cares!!? hali ya kuwa wewe unazungumza hapa na povu limekutoka kama unajiamini nenda youtube ukaone mwenyewe na kuhusu hicho kibwagizo inaonekana wewe si mfutiliaji wa sanaa ya huyu bwana unakumbuka huyu bwana kaimba nyimbo ngapi and can you mention?
inaonekana wewe hupenda kumezewa kila kitu sasa ona hii kwenye clip ya 4:16https://youtu.be/n9MfSZFFicE na kuhusu wewe ukihojiwa jambo hauonekani kutoa maelezo ya kina nimekuuliza kuhusu nyimbo za huyu bwana mkubwa hata utaje nyimbo zake umeshindwa unaanza kusema wewe wanaokufahamu hiyo si hoja.Maneno machache ninayoweza kukuambia ni kwamba you know nothing about me! Nilichoona kwenye maelezo yako ni total cra'p! Ukitaka kuleta hoja unatakiwa kuleta hoja, ikiwa complete... that's how we do bro!! Sio unaambiwa weka hapa unaishia kusema "nenda you tube!" What for? Kama source yako ni Youtube unatakiwa kuweka hiyo link hapa... that's how things work! Hilo la kibwagizo kwamba eti unaona eti mie sio mfuatiliaji ni kichekesho cha karne mbele ya wanaonifahamu! Narudia, weka hoja hapa... taja hizo nyimbo au wimbo na sio kusema "kibwagizo kila cku magazeti....!" What's the hell is that?
Kwamba eti natoka povu! Nani anatoka povu kati yangu na nyinyi mnaotaka anyang'anywe endorsement deals kwa hoja ambazo hata source zake mnashindwa kuweka? No one cares coz' Vodacom, Coca-Cola na DStv STILL work with the guy!
We jamaa cjui wa wapi! Narudia, DUNIANI KOTE ikiwa unasema source yako ni XYZ basi unatakiwa kuiweka hiyo source... kwa hapa ulitakiwa kuweka link na sio kusema "nenda Youtube!"inaonekana wewe hupenda kumezewa kila kitu sasa ona hii kwenye clip ya 4:16https://youtu.be/n9MfSZFFicE na kuhusu wewe ukihojiwa jambo hauonekani kutoa maelezo ya kina nimekuuliza kuhusu nyimbo za huyu bwana mkubwa hata utaje nyimbo zake umeshindwa unaanza kusema wewe wanaokufahamu hiyo si hoja.
kwanza,kuna mengi umesema sana lakini inaonekana ulivyo asidi wa mambo haya , nilichotaka kukuonyesha wewe ni kuwa jambo linalozungumzwa hata kama si kweli sisi wataalamu wa mambo tofauti na wewe hupenda kijlidhisha na jambo husika sasa wewe unakuja na ushabiki na unazi usio kuwa na kichwa wala miguu , hivi nikuulize huyu unayemzungumzia yeye ni nani na hata sisi tusimkanye juu ya yale mabaya anayosema au anayofanya , ndo maana tunawaambia waafrika muwe huru kwenye fikra na si kwenye kula vyakula na kuvaa nguo.We jamaa cjui wa wapi! Narudia, DUNIANI KOTE ikiwa unasema source yako ni XYZ basi unatakiwa kuiweka hiyo source... kwa hapa ulitakiwa kuweka link na sio kusema "nenda Youtube!"
Pili, kuhusu hiyo video uliyoiweka! Hivi umeisikiliza kweli wewe? Kama ndiyo, sema hapa ni dakika ya ngapi na sekunde ya ngapi aliposema "yule(whoever she is) ni malaya!" Au taja palipo na udhalilishaji wa aina yoyote bila kujali ni dhidi ya nani!
Tatu, hii interview ilikuwa ni baada ya release ya Nitampata Wapi! Hivi ndugu umeusikiliza ule wimbo wewe? Ni wapi kakashifu wanawake? Hivi ni kipi kwenye ile ngoma zaidi ya kumlilia aliyempenda sana?! Huo udhalilishaji unaosema wewe kwenye ile ngoma ni upi?
Nne, akina Mchomvu walikuwa wanamchimba na hiki ndicho aliwajibu: "Mwanaume ukiongea vitu vingi unaonekana unadhalilisha lakini mwanamke akiongea vitu vingi anaonekana anadai haki yake... anaonewa! Mwanaume akiongea sana anaonekana andhalilisha... halafu, ukiongea, sana sana hata machizi wanakuona "mbona boya wewe, unaongeaje.. mi ndo maana nakausha!"
Haya sasa... jamaa hajasema chochote tayari unadai amedhalisha... je, angeongea si ndo basi tena ungesambaza vipeperushi kabisa!! Pamoja na kumchimba azungumzie suala la Wema lakini hilo ndo jibu alilowapa! Sasa wewe suala la Wema kutwa malaya kwenye hiyo video umelitoa wapi?
Dak 5:30-7:25 amezungumzia issue ya gari aliyokuwa amepewa Wema! Kuna sehemu kaongea maneno ya hovyo hapo zaidi ya kuonesha how much he cared about her?
Weka source nyingine lakini hiyo uliyoiweka, hamna kitu... tena ngoja nikuwekee vizuri:
Kuhusu kutaja nyimbo za Diamond nimeona dai lako ni kiroja kwahiyo nikalipotezea Ni mtu aliyekimbia wodi ya vichaa tu ndie anaweza kuanza ku-list nyimbo za Diamond from Nenda Kamwambie mwaka 2009 hadi Utanipenda mwaka 2016... Acha masihara bhana! Jifunze kuwa specific!
Naona umeanza mipasho lakini tuendelee:kwanza,kuna mengi umesema sana lakini inaonekana ulivyo asidi wa mambo haya
Very funny... "wataalamu" wa mambo hata ktk mambo yasiyo kweli! Only in Tanzania!!nilichotaka kukuonyesha wewe ni kuwa jambo linalozungumzwa hata kama si kweli sisi wataalamu wa mambo
Ulitaka kusema nini hasa?tofauti na wewe hupenda kijlidhisha na jambo husika
Mwenye hizo sifa hawezi kutaka reference.... from A to Z angetetea kwa kubisha tu... Wewe nimekutaka utoe reference lakini uliyoitoa haina ulichokisema na ndio maana nimekuuliza time reference umeshindwa kutaja! But anyway, I can understand "nyie wataalamu wa mambo yanayozungumzwa hata kama c ya kweli!"sasa wewe unakuja na ushabiki na unazi usio kuwa na kichwa wala miguu,
Maajabu ya Wataalamu wa mambo yanayozungumzwa hata kama c ya kweli." Nimekuomba utoe source lakini uliyoitoa haina hayo madai yako lakini bado unataka kumuonya kwa "mambo anayofanya na kuyasema" hata kama source haijayaonesha hayo mambo!hivi nikuulize huyu unayemzungumzia yeye ni nani na hata sisi tusimkanye juu ya yale mabaya anayosema au anayofanya
Lemme think... ni nini hasa unajaribu kusema hapa! Kwamba fikra huru ndo huko kuongea mambo ambayo hayapo na kuweka reference isiyo na yale unayosema kuwapo?! Kama ndivyo, then i'd love kuendelea kuwa hivi kv kinyume chake ni sawa na kutamani kuwa kiroja!ndo maana tunawaambia waafrika muwe huru kwenye fikra na si kwenye kula vyakula na kuvaa nguo.
Naona ume-panic bro! Huu mchezo hauhitaji hasira jombaa!pili, kuhusu kusikiliza hiyo clip nimesikiliza kiasi kwamba nikaona nikupatiae nawewe kinda
Mr. Chairman, narudia... unaposema kwamba source yako ni Youtube unatakiwa kuweka specific video link na sio kusema nenda Youtube! Mtu akikuambia weka link si kwamba anataka atafuniwe but that's how things work! Simple!unaye taka mie nikutafutie na kukutafunia kasha wewe umeze.
You can't be serious, Dak 4:16 Mchomvu anaongelea issue ya Diamond kuwa-connect akina Fid Q kwenye collabo pamoja na collabo yake na Mafikizolo! Wameongea hadi Dak 4:58 b4 Mchomvu hajaingiza issue ya Meneja wa Wema (Dak 4:59) na suala zima la Wema kupewa gari! Dak 5:28 Diamond anatolea ufafanuzi kwamba ilikuwa ni birthday ya Wema! Ingawaje Wema aliletwa gari toka kwa mtu ambae hata Duamond hakumfahamu lakini jamaa hakusitisha kupeleka zawadi yake ya gari kwa Wema! Sasa tatizo liko wapi hapo?!sasa rudia kuangalia dk 4 na sekunde ya 16.
Oh! Real? Nimegoma kumeza sumu zako kwahiyo umekosa sifa za kuwa mwalimu wangu!!Tatu, nataka nikuonyeshe tena wapi alipo wadhalilisha wanawake , kwakua mie ni mwalimu wako
Ulikuwa na hamu ya kutumia neno chizi; au?! Manake sifahamu ni kwanini hilo neno umeliweka hapo!!ngoja nikuambie tena mwanafunzi unayemuuita mwalimu wako chizi,
Oh!! Kwahiyo hiyo Youtube clip huitaki tena as your evidence? Hii ni aina nyingine ya kutumia weledi wako wa "Ualimu" ku-admit kwamba hiyo video yako haina kitu kwahiyo turudi kwenye wimbo; au?sikiliza wimbo huo wote
Nitampata Wapi ni my favorite song kwahiyo naifahamu vizuri! Hicho unachosema wewe hakipo!!kisha gh'amua
ushauri wangu ni kuwa "usipo fikiri utanuka" hivyo amua kuto kunuka fikiri sasa
Wewe ni nani kwanza huna kazi za kufanyamgombea uvccm2017
Hahahaaaa! TZ SIO KAMA USA ILA TANZANIA KIKATIBA NI NCHI INAYOLINDA HAKI ZA WANAWAKE, NA INAPROMOTE GENDER EQUALITY. Na inachukulia mambo ya wanwake very serious, please revise your CIVIC NOTES ujue Tanzania imefanya jitihada zipi since 1961 kumkomboa mwanamke na unyanyasaji.
VODACOM GLOBAL INAJALI SANAA SANAAA BRAND IMAGE YAKE AND I WILL MAKE SURE I WILL BRING TO THEIR ATTENTION HILI JIPU HAPA TANZANIA AMBALO LIMEIVA MPAKA LINATUMBUKA LENYEWE.
Joti hana scandal kama anayo PLEASE SHARE na yeye anatumbuliwa tu.
Mange is a woman rights activist, mrekebisha tabia, usipojipanga nitakupanga etc, na wote watapata hii nakala kuiwasilisha kwenye jamii.
CALLING ME STUPID DOESNT JUSTFY TO THE LIST ALL THE INTERVIEWS HE JUSTIFIED AND ADVOCATED VIOLANCE AGAINST WOMEN.
Jipange upyaaa hii imewakalia vibaya.
kwanza nikupongeze kwa namna ya uandishi wako unataka kuficha ukweli nilio kwisha kukuambia , kisha nikushukuru kusahau matusi yako kwenye post za awali za kuniita mimi chizi , vilevile nikupe heko kukubali japo kidogo mimi kuwa mwalimu wako .... nadhani hapa tulipofikia mimi nikiri kuwa ni kweli umeongea vyema sana kuhusu jamaa lakini ona pia hii ya unyanyasaji wake kwa wanawakeNaona umeanza mipasho lakini tuendelee:
Very funny... "wataalamu" wa mambo hata ktk mambo yasiyo kweli! Only in Tanzania!!
Ulitaka kusema nini hasa?
Mwenye hizo sifa hawezi kutaka reference.... from A to Z angetetea kwa kubisha tu... Wewe nimekutaka utoe reference lakini uliyoitoa haina ulichokisema na ndio maana nimekuuliza time reference umeshindwa kutaja! But anyway, I can understand "nyie wataalamu wa mambo yanayozungumzwa hata kama c ya kweli!"
Maajabu ya Wataalamu wa mambo yanayozungumzwa hata kama c ya kweli." Nimekuomba utoe source lakini uliyoitoa haina hayo madai yako lakini bado unataka kumuonya kwa "mambo anayofanya na kuyasema" hata kama source haijayaonesha hayo mambo!
Lemme think... ni nini hasa unajaribu kusema hapa! Kwamba fikra huru ndo huko kuongea mambo ambayo hayapo na kuweka reference isiyo na yale unayosema kuwapo?! Kama ndivyo, then i'd love kuendelea kuwa hivi kv kinyume chake ni sawa na kutamani kuwa kiroja!
Naona ume-panic bro! Huu mchezo hauhitaji hasira jombaa!
Mr. Chairman, narudia... unaposema kwamba source yako ni Youtube unatakiwa kuweka specific video link na sio kusema nenda Youtube! Mtu akikuambia weka link si kwamba anataka atafuniwe but that's how things work! Simple!
You can't be serious, Dak 4:16 Mchomvu anaongelea issue ya Diamond kuwa-connect akina Fid Q kwenye collabo pamoja na collabo yake na Mafikizolo! Wameongea hadi Dak 4:58 b4 Mchomvu hajaingiza issue ya Meneja wa Wema (Dak 4:59) na suala zima la Wema kupewa gari! Dak 5:28 Diamond anatolea ufafanuzi kwamba ilikuwa ni birthday ya Wema! Ingawaje Wema aliletwa gari toka kwa mtu ambae hata Duamond hakumfahamu lakini jamaa hakusitisha kupeleka zawadi yake ya gari kwa Wema! Sasa tatizo liko wapi hapo?!
Oh! Real? Nimegoma kumeza sumu zako kwahiyo umekosa sifa za kuwa mwalimu wangu!!
Ulikuwa na hamu ya kutumia neno chizi; au?! Manake sifahamu ni kwanini hilo neno umeliweka hapo!!
Oh!! Kwahiyo hiyo Youtube clip huitaki tena as your evidence? Hii ni aina nyingine ya kutumia weledi wako wa "Ualimu" ku-admit kwamba hiyo video yako haina kitu kwahiyo turudi kwenye wimbo; au?
Nitampata Wapi ni my favorite song kwahiyo naifahamu vizuri! Hicho unachosema wewe hakipo!!
kwanza nikupongeze kwa namna ya uandishi wako unataka kuficha ukweli nilio kwisha kukuambia , kisha nikushukuru kusahau matusi yako kwenye post za awali za kuniita mimi chizi , vilevile nikupe heko kukubali japo kidogo mimi kuwa mwalimu wako .... nadhani hapa tulipofikia mimi nikiri kuwa ni kweli umeongea vyema sana kuhusu jamaa lakini ona pia hii ya unyanyasaji wake kwa wanawake
miafrika ndivyo tulivyo talk .......Sasa hapo unyanyasaji uko wapi? Nani kanyanyaswa na kanyanyaswaje?
Akili za watu wa dizaini hii ndo wanafanya africa waonekane wajinga...hawezi kusema hapo unyanyasaji uko wapi anapiga kelele tuSasa hapo unyanyasaji uko wapi? Nani kanyanyaswa na kanyanyaswaje?