Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

kwanza nikupongeze kwa namna ya uandishi wako unataka kuficha ukweli nilio kwisha kukuambia , kisha nikushukuru kusahau matusi yako kwenye post za awali za kuniita mimi chizi , vilevile nikupe heko kukubali japo kidogo mimi kuwa mwalimu wako .... nadhani hapa tulipofikia mimi nikiri kuwa ni kweli umeongea vyema sana kuhusu jamaa lakini ona pia hii ya unyanyasaji wake kwa wanawake
Kwanza huna touch za kuwa Mwalimu wangu kwahiyo eti kukubali wewe ni Mwalimu wangu ni kiroja!!

Pili, unadai eti nimekuita Chizi! Unaweza kuweka hapa hiyo post unayosema nimekuita chizi? Suala la Machizi nimelizungumzia hapa:
Nne, akina Mchomvu walikuwa wanamchimba na hiki ndicho aliwajibu: "Mwanaume ukiongea vitu vingi unaonekana unadhalilisha lakini mwanamke akiongea vitu vingi anaonekana anadai haki yake... anaonewa! Mwanaume akiongea sana anaonekana andhalilisha... halafu, ukiongea, sana sana hata MACHIZI wanakuona "mbona boya wewe, unaongeaje.. mi ndo maana nakausha!"
Mosi, hivi unaamini hilo neno MACHIZI hapo linakulenga wewe?!

Pili, una umri gani? Hili ni Jukwaa la vijana na kama wewe ni mtu mzima mwenzangu basi unatakiwa kufahamu lugha za vijana vinginevyo kila wakati utaona unatolewa lugha chafu kumbe tatizo ni wewe mwenyewe kutofahamu lugha za vijana! Hapo neno vijana limetumika kama "fellaz", washikaji, marafiki n.k kinyume chake unadhani neno limetumika kumaanisha mwendawazimu!!
 
Wanadhalilishwa au wanajidhalilisha.

Akidhalilishwa mnapayuka mpaka kingo za mdomo Zinataka kuchanika

Akijidhalillisha mnauchuna kama maji ya mtunginj kimyaaaaa!!!

Which is which.

Dunia hii hadaa na walimwengu shujaa hahhahhahahah

#Angaliamaishayakowewe
 
Na magazeti ya udaku kwa kukosa habari si unajuagaaaa [emoji442][emoji441] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
utaskia eti Dai.........[emoji445] [emoji444]
 
Its sad when magazeti pendwa ndo yamekuwa references. wakati ukisoma ndani utasikia, "mtu wa karibu wa flani", " jina tunalo", "taarifa kutoka kwa jirani wa karibu" etc. mwisho wa siku tunafanya hitimisho.
 
tatizo bongo kulindana hao waliotendewa unyama huo hawawezi kujikingia kifua wenyewe wanasubiri watu baki ndio wawapiganie
 
tatizo la nchi yetu,magazeti yetu na hata hizo taasisi kama Tamwa au Tawla wanakuwa wakali sana jambo hili linapomhusu mtu baki kwa wale waliofatilia ishu ya Kapuya wanakumbuka hili swala lilivyomalizwa kimyakimya ndio maana wabunge wanawake wakitoka bungeni kisa wameitwa baby siwaungi mkono kwani wangeanza kukomaa na mambo haya toka mwanzo watu wengine wangeogopa kudhalilisha wanawake au wakati gadner anamzungumzia Lady J D waliokuwa wakipiga kelel za kushangilia wengi walikuwa wakina dada kwa makampuni yanayojitambua ni vigumu mtu kama huyo kupata mikataba
 
Its sad when magazeti pendwa ndo yamekuwa references. wakati ukisoma ndani utasikia, "mtu wa karibu wa flani", " jina tunalo", "taarifa kutoka kwa jirani wa karibu" etc. mwisho wa siku tunafanya hitimisho.
"Paparazi wetu alivompigia simu iliita bila kupokelewa "
 
Bora useme TMZ kuliko MTO..
very few rely on MTO..maana uyo owner anasifika kwa kuwa biased..design za kina Mange N.k
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!

Leo nimekaa imenibidi niseme, sababu nipo kikazi as advocate of gender equality and enforcer of women rights i was waiting all this time TAMWA, TAWLA, UTU Mwanamke tu etc waongeee hii issue ila hawakuongea.

Juzi baada ya Rommy Jones, Official Dj wa Diamond kumbaka mtu huko Sweden na kumsikiliza meneja wa Dai, I was hoping even once ange apologise kwa Debora au hata kwa jamii ila ndo kwanza kamkingia kifua Rommy na Dai. That is it.

As jamii naanza kuongea naomba kina Mange Kimambi, Mrekebisha tabia nao waongeee, serious women activists tuangalie hili swala kwa jicho la 3.

History ya Diamond women abuse goes way back, and all these abuses are documented katika tabloids and anahojiwa na kukubali kafanya, even in some interviews zipo online nimezikusanya anakiri kabisaa na anaona sifa kwa unyanyasaji wake dhidi ya wanawake. The best part is internet never forgets.

Ningenyamaza but it is not okay kwa musicians na vijana wadogo zetu kama Dai kuona it is okay kunyanyasa wanawake watakavyo, well it is not. Mwanamke lazima aheshimiwe.

Diamond alimnyanyasa sanaaa, sanaaa, sanaa Amisuu Maliki, yule Miss Ilala, shombe shombe. Alimsingizia katembea nae gazetini. Yule binti alihangaika kujisafisha sema ndo hivo mtu maarufu keshaamua kukuchafua utafanyaje?

Kwa watu wa asili ya kiarabu alimuharibia maisha mpaka yule binti kakimbia nchi, sijui yupo China sijui yuko wapi na kisaikolojia ashapotea. He got away with it sababu yule binti kama wengine hakuwa kasoma, wala hakuwa na nguvu ya kupambana na Diamond.

Akaja kumnyanyasa sanaa sanaa Wema Sepetu. Alikuwa anampa vipondo heavy mara kwa mara. Shame on you Wema kwa kuwa so blind in love kwa kushindwa kureport na kuona sawa tu vipondo ulivyoshushiwa. Na alikiri kwenye Amani (gazeti), picha ipo, makala ipo kuwa ndio anampiga Wema sanaaa, kwa sababu ni jeuri. Watu wakaona sawaaa tu, si kataka mwenyewe.

Interviews nyingi sanaa amekuwa anatoa verbal abuse dhidi ya ma ex wake, live on air. Anatukana wadada hakuna mfanooo. Sababu ma ex wake ndo hivo tena wadogo, shule ya wasiwasi wanashindwa kupambana nae, wanabakia victims tu. Shame on you Jokate kwa kushindwa kuchukua lawsuit againts hii woman abuser. Hizi interview zipo online na huyu mtu hajawajibishwa mpaka kesho.

Kwa wenzetu mtu mwenywe historia ya Diamond hafai kuwa endrosed na kampuni yoyote hata ya mfukoni. Shame shame shame on you Voda and RedGold kwa kumpa huyu mtu endorsement. Vodacom aliesapoti hii ishu ni jipu na atumbuliwe. Tigo wamechukua Joti very clean, hana harufu ya women abuse charges. Shame shame shame on you Voda. Line yangu nishaiflush chooni i cant roll with a company yenye women abuser as their brand ambassador. Hapa ni Tigo baby mwanzo mwisho.

Chris Brown alivompiga Rihana was stripped all his endorsement deals. He has spent 7 years apoligising, giving interviews, being on the front bench ku advocate alichofanya sio sahihi na kuelimisha jamii kwamba ule sio muelekeo na till date hana endorsement ya maana na some countries kama Australia amenyimwa visa entry for something he did 7 years ago.

I call all the women verbally or physically abused by Diamond to speak up even in their Instagram pages, msiogope backlash, we have to break the cycle of silence. Sababu wote mko hai find the courage to do so.

Hata waliokuwa abused na billy cosby it took them 20 years even more kuongea the minute wameongea he lost all his endorsements and was stripped all his honorary degrees and tittles sababu he is a noble citizen.

Goodluck Voda kwa kuwa na brand ambassador mwenye Dj mbakaji na alishawahi kumpiga Gf mpaka mimba ikatoka na aka-confess kwenye interview. What a brand image!

NA ILE MIBANGO YENU YENYE DJ MBAKAJI MWENYE RB VEPEEEEEEEEE! MFANYE MUITOE MAPEMAAAA HIZI HABARI ZIKO MBIONI KWENDA MEDIA MediaTakeOut.com™ 2014 ULE MBANGO UKIFIKA HUKU NA RB YA DEBBY NA HIVI HAWAJAMALIZANA NAE DOLLA ZAKE HAJALIPWA MJUE NI ITAKUWA GLOBAL SCANDAL NCHI KIBAO ONE BRAND!

HABARI ZIKO NJIANI KUELEKEA HUKO NA BLOG ZINGINE GOBAL FANYENI MTOE MIBANGO HIO. OOOOHHH!

ITAKUWA MAJIPU MAWILI;

1. KUKURUPUKA NA
2. KUTOCHUKUA HATUA MADHUBUTI KWA WAKATI
Acha wivu wa kijinga wewe! fanya yako maisha yaendelee sio kupiga piga kelele humu kwani wanawake wangapi wana abuse wanaume na mpo kimya kuhusu hilo au unafikiri gender abuse ni mpaka mtu apigwe?
 
huna lolote Lara....
Hahahaaaa! MBONA VODA HAWAENDI KUWA SPONSOR HAO WAKATA MAUNO UCHI? Think critically! Kiki mi nikitaka naandika tu story kila mahali facebook naikuta HAPA TUPO SERIOUS TUNAJENGA JAMII SAFI.
Huna lolote ,....wivu tu unakusumbua......Chibu akikutokea hautotoa papuchi wewe?? au sababu haujapata hiyo fursa??? mademu akili zenu mnajua wenyewe kwa kweli.....hapo ulipo unatamani uloweshwe naye....
 
aisee ngoja tuone mtalinga wake utaishia wapi kweli Tanzania kuna mambo ya kila aina


ila bishosti lara1 achana na mambo ya wasanii yatakucost bure waache waendelee wao ila wewe pambana kivyako vyako tu
 
ff4037fd98b7c0aa8c466716bfc69a61.jpg
 
Back
Top Bottom