bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani niagize chochote anikute hapo nikasema sawa.
Basi nilifanya kama alitaka, na baadaye alifika alikuwa amependeza sana. Tuliongea kidogo kisha akaniacha kidogo, baada ya dakika chache akarudi kunichukua akanipeleka kwenye chumba.
Katika hali isiyo ya kawaida nikajikuta sina nguo, na baada ya hapo nikafanya kitu ambacho nilihapa kutofanya naye Tena uyu mwanaume. Nakumbuka niliwahi kumtukana matusi mazito huku nikihapa kamwe hawezi kuja kunivua nguo zangu tena.
Alinifanya atakavyo, huku akiniambia kwanini siolewi wakati nilisema siwezi kumaliza mwaka bila kupata mume maana ni mzuri sana.
Nilikosa jibu kwakweli, naumia sana yani leo Mimi nimekuwa mchepuko wa mume wangu.
IVI KWANINI WANAWAKE TUKIACHANA NA WANAUME, TUNABAKI KUDANGA TU OVYO?
IVI KWANINI NIMEKUBALI TENA KUVULIWA NGUO NA UYU MTU.🥺