bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
- Thread starter
- #21
Wengi uachana kwa mihemuko thus baada ya talaka wengi ujutia makosa yaoSwali fikirishi kwanini mliachana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi uachana kwa mihemuko thus baada ya talaka wengi ujutia makosa yaoSwali fikirishi kwanini mliachana
Hahahaaaaaaaaa[emoji2936][emoji2935]Huu ni ushahidi kwamba usije oa single mother hata ukiwa kwenye uhusiano nae usimpende kupitiliza
Tena wakipewa tuzawadi na pesa mume anakuwa falaWengi uachana kwa mihemuko thus baada ya talaka wengi ujutia makosa yao
N A K A Z I AHuu ni ushahidi kwamba usije oa single mother hata ukiwa kwenye uhusiano nae usimpende kupitiliza
Mtalaka wako kwa nini bado unajidanganya kuwa ni mmeo?Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani niagize chochote anikute hapo nikasema sawa.
Basi nilifanya kama alitaka, na baadaye alifika alikuwa amependeza sana. Tuliongea kidogo kisha akaniacha kidogo, baada ya dakika chache akarudi kunichukua akanipeleka kwenye chumba.
Katika hali isiyo ya kawaida nikajikuta sina nguo, na baada ya hapo nikafanya kitu ambacho nilihapa kutofanya naye Tena uyu mwanaume. Nakumbuka niliwahi kumtukana matusi mazito huku nikihapa kamwe hawezi kuja kunivua nguo zangu tena.
Alinifanya atakavyo, huku akiniambia kwanini siolewi wakati nilisema siwezi kumaliza mwaka bila kupata mume maana ni mzuri sana.
Nilikosa jibu kwakweli, naumia sana yani leo Mimi nimekuwa mchepuko wa mume wangu.
IVI KWANINI WANAWAKE TUKIACHANA NA WANAUME, TUNABAKI KUDANGA TU OVYO?
IVI KWANINI NIMEKUBALI TENA KUVULIWA NGUO NA UYU MTU.🥺
Wewe ni mdangaji kama wadangaji wengine, kwanini ulale na mume wa mtu?? Hujamove on ndio maana ukakubali kuvua nguo mfyuuu zako nyie ndio mnafanya single mothers watukanwe na waonekane hawana msimamo.Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani niagize chochote anikute hapo nikasema sawa.
Basi nilifanya kama alitaka, na baadaye alifika alikuwa amependeza sana. Tuliongea kidogo kisha akaniacha kidogo, baada ya dakika chache akarudi kunichukua akanipeleka kwenye chumba.
Katika hali isiyo ya kawaida nikajikuta sina nguo, na baada ya hapo nikafanya kitu ambacho nilihapa kutofanya naye Tena uyu mwanaume. Nakumbuka niliwahi kumtukana matusi mazito huku nikihapa kamwe hawezi kuja kunivua nguo zangu tena.
Alinifanya atakavyo, huku akiniambia kwanini siolewi wakati nilisema siwezi kumaliza mwaka bila kupata mume maana ni mzuri sana.
Nilikosa jibu kwakweli, naumia sana yani leo Mimi nimekuwa mchepuko wa mume wangu.
IVI KWANINI WANAWAKE TUKIACHANA NA WANAUME, TUNABAKI KUDANGA TU OVYO?
IVI KWANINI NIMEKUBALI TENA KUVULIWA NGUO NA UYU MTU.[emoji3064]
hizo point 3 ni sawa na man city fc kumfunga milton keynes dons fc.Point tatu uwanja wa ugenini.