Pale Mke anakuwa mchepuko wa mume

Pale Mke anakuwa mchepuko wa mume

Kwa majuto haya kuwa tu mkweli, alivyoingilia ule mlango mbele baada ya kuufunga hakutokea ule mlango wa uwani ambao mara nyingi unakuwaga na matakataka?
 
Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani niagize chochote anikute hapo nikasema sawa.

Basi nilifanya kama alitaka, na baadaye alifika alikuwa amependeza sana. Tuliongea kidogo kisha akaniacha kidogo, baada ya dakika chache akarudi kunichukua akanipeleka kwenye chumba.

Katika hali isiyo ya kawaida nikajikuta sina nguo, na baada ya hapo nikafanya kitu ambacho nilihapa kutofanya naye Tena uyu mwanaume. Nakumbuka niliwahi kumtukana matusi mazito huku nikihapa kamwe hawezi kuja kunivua nguo zangu tena.

Alinifanya atakavyo, huku akiniambia kwanini siolewi wakati nilisema siwezi kumaliza mwaka bila kupata mume maana ni mzuri sana.

Nilikosa jibu kwakweli, naumia sana yani leo Mimi nimekuwa mchepuko wa mume wangu.

IVI KWANINI WANAWAKE TUKIACHANA NA WANAUME, TUNABAKI KUDANGA TU OVYO?

IVI KWANINI NIMEKUBALI TENA KUVULIWA NGUO NA UYU MTU.🥺
Mtalaka wako kwa nini bado unajidanganya kuwa ni mmeo?

Mume ni title yenye hadhi yake isiyostahili kutaniwa ama kubezwa!

Hapo wewe ulilala na mchepuko kama mchepuko mwingine, sababu huyo jamaa si mumeo wala wewe si mkewe.

Tutumieni kiswahili vizuri, tusiichafue maana ni lugha ya Taifa.

Kwani madhehebu yake hayamruhusu kukurejea, maana umempamba kwa sifa, hivyo bado unampenda na yeye anakupenda pia ndiyo maana akakusorolea na kukulala.
 
Tulikubaliana kwenye kikao chetu kuwa single mama nikuwala mbususu na kuwaacha hapo hakuna kuwao huu ndio msimamo wetu tunamshukuru sana huyo mwamba hakika umetuwakilisha vizuri na alielewa kikao chetu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani niagize chochote anikute hapo nikasema sawa.

Basi nilifanya kama alitaka, na baadaye alifika alikuwa amependeza sana. Tuliongea kidogo kisha akaniacha kidogo, baada ya dakika chache akarudi kunichukua akanipeleka kwenye chumba.

Katika hali isiyo ya kawaida nikajikuta sina nguo, na baada ya hapo nikafanya kitu ambacho nilihapa kutofanya naye Tena uyu mwanaume. Nakumbuka niliwahi kumtukana matusi mazito huku nikihapa kamwe hawezi kuja kunivua nguo zangu tena.

Alinifanya atakavyo, huku akiniambia kwanini siolewi wakati nilisema siwezi kumaliza mwaka bila kupata mume maana ni mzuri sana.

Nilikosa jibu kwakweli, naumia sana yani leo Mimi nimekuwa mchepuko wa mume wangu.

IVI KWANINI WANAWAKE TUKIACHANA NA WANAUME, TUNABAKI KUDANGA TU OVYO?

IVI KWANINI NIMEKUBALI TENA KUVULIWA NGUO NA UYU MTU.[emoji3064]
Wewe ni mdangaji kama wadangaji wengine, kwanini ulale na mume wa mtu?? Hujamove on ndio maana ukakubali kuvua nguo mfyuuu zako nyie ndio mnafanya single mothers watukanwe na waonekane hawana msimamo.

Kwanza inaoneka wote wawili hamjiheshimu ndio maana mnavuana nguo kipuuzi tuu, na pia wewe ni mwanaume kabisa mwandiko sio wa kike huu so hii ni CHAI
 
Back
Top Bottom