Pale mkwe anapokupimia mahari ndefu kwa binti

Pale mkwe anapokupimia mahari ndefu kwa binti

Ni familia yenye uwezo? Waliooa hapo walitozwa mahari kiasi gani? Majibu hayo yatakusaidia kukupa mwongozo.

Vinginevyo kuna mawili. Ama familia haikutaki au binti ana njemba nyingine ambayo familia wanaikubali zaidi na ndiyo wanayoitegemea kuwa itaoa binti yao....[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom