Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wanakimbilia porini na mabinti wa watu!?Ahahahhaahah
Ayaiya iya mama.........Jua lilee na literemkeee mamaaa nimekumbukaaa sanaaaaa
Siku hizi wanaimbaje vileeeeAyaiya iya mama.........
Aisee ,kweli humu hamnazo.Ayaiya iya mama.........
Una maanisha kitu gani??? Unajua huo wimbo wewe?? Usikurupuke tu na kujibu jibu watu hovyooooAisee ,kweli humu hamnazo.
hayaiyahiyaiyahaa mama!!!!!!!!! ahahahahahahahhaahah. hatari sana, enzi zile bila km5 huingii clasiJua lilee na literemkeee mamaaa nimekumbukaaa sanaaaaa
Wacha kulialia ww ,Una maanisha kitu gani??? Unajua huo wimbo wewe?? Usikurupuke tu na kujibu jibu watu hovyoooo
ahahahahaha anaweza tenganisha kongosho na firigisi bila kwenda maabarahahahaha mwalimu wa FILDI sio mtu wa mchezo mchezo