Pale msanii unapotoa nyimbo 3 afu zote zii

Pale msanii unapotoa nyimbo 3 afu zote zii

My number one ilichukua tuzo saba za ktma usiku mmoja siyo izo zenu mnazokesha na simu mkoni hamlali. Tuzo zenyewe za kiboya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
kapovu flan hiv amaizing, alichukua saba kipind hiko King hajatoa ngoma eenhee tule habari mwaka uliofuata nini kilitokea au nini kilimkumba " mlezi wa wana"? aliambulia mbili tu tano zote zikaenda kwa king, king asingeachia angechukua tena saba...umeona athari za king kwa " mlezi wa wana?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My number one ilichukua tuzo saba za ktma usiku mmoja siyo izo zenu mnazokesha na simu mkoni hamlali. Tuzo zenyewe za kiboya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
so za kiboya zipi hizo za KTMA aw? sijaelewa maana hapo umemsifia "mlezi wa wana" kachukua 7 in single night, then unasema king anachukua tuzo za kiboya hebu tudadafulie kidogo tuelewe kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli mond ni noma, hii siledi ya mwaka juz akitabiliwa kuaga mashindano ktk mziki, lakin mpaka leo bado yupo na skendo zake bado zipo hot ile mbaya, nyimbo ndo usipime maana huko kunajieleza kwenyewe
 
Ameenda kurekodi ufaransa Na meneja wake Na dansa wake pesa tu za matumizi wanazoo tumia sizani atakama familia yako wanazoo hahahahahaahahaha hahahah a. We ata kisafari cha mkoani hauna
 
Back
Top Bottom