Pale mshahara wa mtangazaji unapochelewa

Boloyoung

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
682
Reaction score
652
Pale mtangazaji anapocheleweshewa mshahara utasikia "Taarifa hii ya habari inakujia kutoka MAMBO TV. Habari kamili...Mbeya....Serikali IMEBINU MBUNI...kumradhi...IMEMBINU BUNI...samahani...IMEMBUNI BINU...sorry...IMEMBUNI MBUNI aaah kumradh ntarudia. Serikali IMEBUNU MBINI....daaaaaaaadeki!!! [emoji23]
 
duuuu angalau leo nimecheka,je mwalimu akicheleweshewa mshahara mambo yanakuwaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa....du,,,,najitahidi kuangalia hemed kivuyo akicheleweshewa salary
 
duuuu angalau leo nimecheka,je mwalimu akicheleweshewa mshahara mambo yanakuwaje?
Ni fimbo za migongoni kwa wanafunz kwenda mbeleee! Hata kam hana kosa mwanafunz ataipata... Akibug kdg tu shidaass
 
Ni fimbo za migongoni kwa wanafunz kwenda mbeleee! Hata kam hana kosa mwanafunz ataipata... Akibug kdg tu shidaass
Hamn kufanya hivy nikuacha kufundish had Pele mxhahatr utakapo kuja ndoooo mpango
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kazi kweli kweli
 
we jamaa umefanya siku yangu imekuwa murua sana... ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…