Pale Msimamizi wa Sheria anapovunja Sheria

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Pale anayetangaza na kusisitiza "Kila abiria afunge mkanda wa usalama, basi haliwezi kuondoka kama kuna mtu hajafunga mkanda wa usalama"

Yeye mwenyewe amekaa sehemu isiyo na mkanda wa usalama wala sehemu ya kufunga kamba kujikinga asitokee kwenye kioo ikiwa zitafungwa break za ghafla.



Pale dereva wa bus anapo overtake kwenye mistari miwili inayozuia kitando hicyo huku msimamizi wa usalama akishuhudia na kukaa kimya kwakuwa amepewa lift.


Pale msimamizi wa sheria anapomsimamisha dereva mvunja sheria za barabarani na ghafla kukutana na msimamizi mwingine akiwa ndani ya lift ya bus lililoovertake kwenye kizuizi Na kuliruhusu liendelee na safari



Hii ndiyo Tanzania yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…