sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hivi mtu yupo gereza la maweni kule Tanga au ana ugonjwa unaompa maumivu makali sana kila siku mpaka analia, hapo utaongea nae kitu gani.Kifo kisikie kwa mwenzako tu.
Haijalishi ana maumivu gani. Ila kuongea ongea nae inaleta amani sana
Ikiwa mtu bado anaishi bado kuna tumaini bila kujali yupo kwenye situation gani matatizo huwa yanapita tuhivi mtu yupo gereza la maweni kule Tanga au ana ugonjwa unaompa maumivu makali sana kila siku mpaka analia, hapo utaongea nae kitu gani.
kuna vitu visikiage tu kwa wengine
Unaamini gerezani kuna maisha magumu kiasi cha kuogopesha?hivi mtu yupo gereza la maweni kule Tanga au ana ugonjwa unaompa maumivu makali sana kila siku mpaka analia, hapo utaongea nae kitu gani.
kuna vitu visikiage tu kwa wengine
Kifo kisikie kwa mwenzio Ndugu yanguKiulweli kifo cha mtu wa karibu huwa kinauma sana kwa wafiwa kitu kinachotupelekea hata wanaume wazima kujifungia vyumbani kulia machozi hadi kamasi kwa maumivu jinsi yalivyo.
tukiachana na upande wa maumivu, kuna muda unakuta marehemu katika maisha yake alikuwa na matatizo yaliyomtesa sana kama magonjwa yenye maumivu makali sana, kwenda jela zenye mateso makali kifungo cha maisha, n.k.. kwa kifo chake ni wazi kabisa sasa marehemu kapumzishwa na mateso aliyokuwa akipitia yaliyotuumiza hata sisi, kwanini kwa upande wa pili isizoeleke kufurahia kifo chake endapo kifo kimestopisha hayo maumivu??
Hii inakera sana mkuu, mwaka 2019 babu yangu alifariki kwa sababu ya stroke ambayo alikaa nayo zaidi ya miezi 6 lakini alikuwa na watoto wake wa nje hawakuwahi hata kupiga simu tu kuulizia maendeleo yake.Unakuta watoto wanakula butter & chicken huko town, hawamjali mzazi wao siku mzazi akifa kwa homa ambayo ingetibika kwa dozi ya 3,500/= mitoto inaenda kupiga kelele msibani
Na hii ndiyo sababu watu hulia wakiamini chochote kinaweza tokea muda wowote na sehemu yoyote.Ikiwa mtu bado anaishi bado kuna tumaini bila kujali yupo kwenye situation gani matatizo huwa yanapita tu
Lakini mtu akifa hakuna tena tumaini kuhusu mambo ya duniani
Kifo kinafikirisha sana
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kiulweli kifo cha mtu wa karibu huwa kinauma sana kwa wafiwa kitu kinachotupelekea hata wanaume wazima kujifungia vyumbani kulia machozi hadi kamasi kwa maumivu jinsi yalivyo.