Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Mbona wote wa Arachuga hao hafu binti na jamaa wanafanana sana watakuwa wapenzi wa muda mrefu hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wote wa Arachuga hao hafu binti na jamaa wanafanana sana watakuwa wapenzi wa muda mrefu hawa
Sauti mbona ipo ndugu?Mbn video haina sauti
Hawajafanana aise, ndugu umeangalia vibaya.Mbona wote wa Arachuga hao hafu binti na jamaa wanafanana sana watakuwa wapenzi wa muda mrefu hawa
We unataka tubishane tu angalia pua na macho yaoHawajafanana aise, ndugu umeangalia vibaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh, kaka hicho ni zaidi ya kituko.
Ila umechanganya mambo, huyo ni wa Dar.
Sawa Mkuu, tufanye umeshinda.We unataka tubishane tu angalia pua na macho yao
Wabongo mwapenda sana ligi nyie.Sawa Mkuu, tufanye umeshinda.
Wacha tu ndugu.Wabongo mwapenda sana ligi nyie.
Anaogopa kumpa ngeu.Labda anamuonea huruma tu.