Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Watu wa mtandao fulani sitaki kuutaja hapa huwa wana kawaida moja pale linapokuja swala la kuangalia connection,huambiana jamani naomba mnitumie nami pm au dm tugawane dhambi
Angalau hao huwa na uhuru wa kuamua kushirikiana mambo ya shetani kwa utashi wao,lkn jambo baya ni kushirikishwa mambo ya shetani bila hiari yako
Mtu akienda club au katika matamasha ameamua mwenyewe kwa hiari yake kwenda kuungana na shetani katika mambo yake,huko ataona wanawake wamevaa utupu,na ushetani mwingi hufanyika huko
Tatizo linakuja pale hao ambao wameenda huko kutaka nasi tushiriki kwa kuona ushetani wao,hivi kuna haja gani ya kwenda huko na kisha kuturushia video za huko kuona matukio yenu,mfano kuna video nimeona Zuchu akiinama na kuonyesha makalio
Sasa watu kama akina Zuchu na wengineo katika matamasha yao unategemea waonyeshe nini ili kufurahisha hadhira yao au mashabiki wao,bilashaka mashabiki wao wanapenda mambo hayo,na ndio maana huwaonyesha
Shida inakuja pale ambapo wale ambao hawakutaka kuyaona hayo,kulazimishwa kuyaona huku mitandaoni,ndio kelele zinaanza fulani hajieshimu,mara hana wazazi mara serikali haiwajibiki,je hivi ambao wanaenda huko club matamashani umeshawi kuwasikia wanalamikia mambo hayo?
Pointi ni kwamba,serikali au mamlaka husika ebu anzisheni sheria ya kutotakiwa kurusha maudhui ambayo yanafanyika katika matamasha na club za usiku hasa yale ambayo yana uchafu ili jamii huku nje isishirikishwe kuyaona mambo ambayo hawapaswi kuyaona
Lakini kuwalaumu hao wasanii wakati hawajaja kupafomu mtaani kwako au sebuleni kwako wakiwa uchi ni kuwaonea bure,kwasababu kazi yao wanaifanya sehemu husika na wana mashabiki wao ambao huwafuata huko,kwahiyo ishu hapa ni jamii isishirikishwe kwa kuonywesha mambo ya huko,atakaye taka kumfuata shetani ataenda huko kwa hiari yake
Na haya matamasha kama yataonywesha live basi iwekwe sheria ya kuhakikisha wasanii wana kuwa na heshima kwa kauli zao na vitendo vyao,kinyume na hapo wasionyeshe live,tamasha likionywesha live huwa na watazamaji wengi sana
Mwisho hata siku moja usitegemee eti shetani atakuwa mcha mungu kwa maana hayo matamasha na ya huko kwenye club kutakuwa na wanawake wamevaa stara au wakawa wema laa! Huko wako katika dunia yao kwahiyo tulio nje ya hiyo dunia yao,watulinde kwa kutoruhusu hayo mambo yao tuonyweshe sisi
Mwisho lakini sio kwa umuhimu,wazazi lindeni kizazi chenu kwa kulinda watoto wenu kutoangalia hizi channel ambazo miziki ya utupu huonywesha,siku hizi tekinolojia imerahisishwa weka lock au zifungue channel husika hapo nyumbani kwako watoto hawata ziona kamwe
Ni bora waje wazione ukubwani kwa hiari yao wakiwa na akili timamu lakini hapo kwako hakikisha hauruhusu maudhui ya hovyo kuonyeshwa katika uangalizi wako
Na huku mitandaoni serikali mpige marafuku maudhui ya namna hiyo kuchapishwa hapo tutakuwa tumekataa kushirikiana na shetani katika mambo yake
Ni hayo tu!