Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Ni ajabu sana na inasikitisha sana kwa timu inayojiita inao viongozi na viongozi hao hao wanashindwa kujua kanuni walizoshirikishwa kuzitengeneza juu ya viwanja vya kuchezea ligi kuu na FA?
Kiongozi bila aibu eti anaomba timu ikachezee Zanzibar kwani huku bara hakuna viwanja? Wamekimbia CHAMAZI lakini hii nchi inavyo viwanja vingi tu vizuri kwanini waombe Zanzibar na huku wakijua kanuni inawakataa?
Viongozi wa Simba wanacheza sana na akili za mashabiki wao, wanajua hawatokubaliwa ili warudi waseme hatujapata matokeo kwakuwa hatukwenda Zanzibar.
Ukiwa na timu imara utashinda popote na ukiwa na timu ya ovyo ata ukikimbilia ulaya utakanyagwa tu!