Pale soko la Karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa?

Habari ya saizi waungwana. Nimekutana na hizi taarifa mitandaoni nimeona nije niulize maswali nijiridhishe. Kwa wataalamu wa ujenzi. Pale soko la karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa??? Wa Bilioni 32.

Jamani zaidi ya rangi na partition sijui kama kuna kingine cha kubadilisha.

Labda mniambie ni foundation mpya inajengwa. Lakini kwa hela hiyo hapana. Tuna matatizo mengi sana ya kushughulikia tukianza na huo umeme mnaosua sua kutuambia na hayo maji yanayo katika katika ovyo. Tanzania🤦🏽‍♀️

Mtatufanya tuanze kufikiria kwamba limechomwa makusudi ili watu wapate pa kupiga hela. Smh
Wameitwa masheikh wakuu kwenda kusoma kisomo ili mandondocha yote yaliopo pale yaondoke yenyewe kuelekea baharini kisha serikali itajenga vibanda vya kunywea kahawa pale
 
Upande wa soko dogo ndio utajengwa soko kubwa la ghorofa.
 
Waachane na mambo ya soko dogo na soko kubwa, eneo lote wajenge soko moja kubwa la kisasa.
 
Habari ya saizi waungwana. Nimekutana na hizi taarifa mitandaoni nimeona nije niulize maswali nijiridhishe. Kwa wataalamu wa ujenzi. Pale soko la karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa? Wa Bilioni 32.

Jamani zaidi ya rangi na partition sijui kama kuna kingine cha kubadilisha.

Labda mniambie ni foundation mpya inajengwa. Lakini kwa hela hiyo hapana. Tuna matatizo mengi sana ya kushughulikia tukianza na huo umeme mnaosua sua kutuambia na hayo maji yanayo katika katika ovyo. Tanzania[emoji2362]

Mtatufanya tuanze kufikiria kwamba limechomwa makusudi ili watu wapate pa kupiga hela. Smh
Yani unalalamikia hako ka bilioni 32 wakati kuna mtu alipiga 1.5 trillion na uka kaa kimyaaa!
 
Labda we ndo ulikaa kimya aisee. Wenye uchungu nazo tuliongea ndo maana na wewe ukapata habari. Mchana mwema
 
Ile kamati iliyoundwa na PM ilileta mrejesho?...maana minong'ono kuhusu huu moto ni mingi...na sasa tunashuhudia hela ikitolewa bila hata feedback anyway mwaka wao huu.....
Sijui ilitafuna Tsh ngapi.
 
Wameitwa masheikh wakuu kwenda kusoma kisomo ili mandondocha yote yaliopo pale yaondoke yenyewe kuelekea baharini kisha serikali itajenga vibanda vya kunywea kahawa pale
Chuki inakutafuna,unaonekana kuna jamii fulani inakutesa sana kwa chuki uliyoifuga juu yao.
 
Back
Top Bottom