Pale soko la Karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa?

Wameitwa masheikh wakuu kwenda kusoma kisomo ili mandondocha yote yaliopo pale yaondoke yenyewe kuelekea baharini kisha serikali itajenga vibanda vya kunywea kahawa pale
 
Upande wa soko dogo ndio utajengwa soko kubwa la ghorofa.
 
Waachane na mambo ya soko dogo na soko kubwa, eneo lote wajenge soko moja kubwa la kisasa.
 
Yani unalalamikia hako ka bilioni 32 wakati kuna mtu alipiga 1.5 trillion na uka kaa kimyaaa!
 
Yani unalalamikia hako ka bilioni 32 wakati kuna mtu alipiga 1.5 trillion na uka kaa kimyaaa!
Labda we ndo ulikaa kimya aisee. Wenye uchungu nazo tuliongea ndo maana na wewe ukapata habari. Mchana mwema
 
Ile kamati iliyoundwa na PM ilileta mrejesho?...maana minong'ono kuhusu huu moto ni mingi...na sasa tunashuhudia hela ikitolewa bila hata feedback anyway mwaka wao huu.....
Sijui ilitafuna Tsh ngapi.
 
Wameitwa masheikh wakuu kwenda kusoma kisomo ili mandondocha yote yaliopo pale yaondoke yenyewe kuelekea baharini kisha serikali itajenga vibanda vya kunywea kahawa pale
Chuki inakutafuna,unaonekana kuna jamii fulani inakutesa sana kwa chuki uliyoifuga juu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…