Pale tunapoendelea kupalilia kizazi cha watu kutothubutu, waoga na wategemea kuajiriwa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Humu ndani ni ukweli kwamba kila mtu ana ndugu na jamaa na marafiki ambao kwa sasa wako kitaa hawana kazi na wengine wamepiga hada Masters na wako mtaani.

Kizazi cha kuto dhubutu kilianza enzi za ujamaa ila pamoja na ujamaa kuisha badi kizazi hicho kingalipo. Kwa sasa kuna tatizo kubwa sana la ajiea na muda si mrefu hili tatizo litakuwa katika kiwango ambacho hakiwezi dhibitiwa.

Watu wamesoma wako mtaani, watu wamemaliza mwaka 2013 wako mtaani wanatafuta kazi.

KWA NINI WAKO MTAANI?

-wazazi wao waliwaaminisha wasome waje kuajiriwa wawe mameneja hivyo wao tangu wanasoma walijua wanaenda kuajiriwa.

- Walimu nao waliwasisitizia wasome waje kupata kazi nzuri waajiriwe kwenye kampuni kubwa

- Marafiki nao waliwasisitizia hivyo hivyo.
-Kaka zao na ndugu wengine waliwasisitizia hivyo hivyo wasome waje kupata kazi nzuri.

- Majirani zao wate, mashangazi,wajomba wote wameajiriwa .

Hawa walioko mtaani ni zao la muda mrefu sana la kupandikiziwa habari za kwamb wanasoma waje kupata kazi nzuri, wawe mameneja.

Sasa ndo hapo wako mtaani wanasubilia zile ndoto za kazi nzuri zitimie.

SASA BASI

Tunapojaribu kupunguza kizazi cha kiwaza ndani ya box tunaonekana wabaya eti tunachukia wafanya kazi.

Nani anachukia wafanyakazi? wafanyakazi si ndo wanunuzi wakubwa? wafanyakazi si ndo wanapesa za kununua? Humu tunajaribu kutengeneza kizazi cha watu kudhubutu, kizazi cha watu wasio kiwa waoga, kizazi cha watu watakao soma wakiju wanaenda kuwa wajiri.

HUMU WANAINGIA WANAFUNZI WA VYUO

Sasa wakiingia humu napo wakutane na story za kuajiriwa si ndo hapo wanapo endelea kijuakwamba wanasoma wakaajiriwe?

Watu watandelea kujaa kwenye Interview kwa sababu tuna kizazi cha kuaminiswa kwamba tunasoma tuajiriwe na still hicho kizazi kinaendelea kiwepo.

HAKUNA ANAYECHUKIA WAFANYAKAZI BALI TUNATENGENEZA KIZAZI CHA KUJARIBU AU KUDHUBUTU.

NB: anzeni kubadilisha mindset za watoto wenu, waambie wanasoma waje kuwa wafanya biashara wakubwa, wanasoma waje kuajiri watu wengine, wanasoma waje kufungua kampuni zao.

ACHENI KUENDELEA KUWAAMINISHA KWAMBA WANASOMA WAJE KUWA MAMENEJA NA WAFANYE KAZI BANDALINI AU BENKI.
 
Mh nimelia baada ya kusoma bandiko hili ni ukweli tumejenga kizazi cha waoga wasio taka kujaribu
Ni.kweli kwa sasa tunatatizo kubwa sana la ajira kuna wasomi wengi mtaanu wengi mno tena mno, mwaka huu vyuo vimemwaga na hawa wanakutana na wa mwaka jana na wa mwaka juzi na kadhalika na pia wanakutana na walio punguzwa kazini
sasa tukiendelea kupiga story za kuajiriwa hatutoboi kamwe
 
Mkuu una wazo zuri sana.....
Naomba na mmi nichangie kuboresha,

naomba nianze kwa kujaribu kukushawishi kuwa MALEZI+ UZOEFU ndio hujenga tabia kwa % kubwa sana.

Malezi na Uzoefu hupatikana -Nyumbani, Majirani na Jamii inayotuzunguka, Shuleni, Marafiki- in short kama ulivyo elezeaa kuamishwa kusoma ili baadae uje kuajiriwa.

Mi ninavyoona hapo [emoji115] [emoji115] [emoji115] ndo kwenye tatizo, yaani tatizo siyo mtoto pekee bali wote ulio waelezea - Wazazi, Majirani,Rafiki, Shuleni (mtaaala), Walimu, Serikali, Wanasiasa, etc

Kuibadili hii inahitaji overall change of parception ya jamii nzima, ikiwa ni pamoja na kubadilika kitabia au matendo,

sio mtu anahubiri kijiari wakati mwenyewe kaajiriwa (amboyo sio dhambi) ila akitumbuliwa analilia kibarua hicho, na yuku bize anawatafutia ajira watoto wake kwa kujuana na kuhonga.

Mwisho kabisa.......
Watu wangi walio jiajiri wametokana na

1; malezi yenye mtazamo huo, mfano wachaga na wahindi wenye maduka(biashara), ni malezi na uzoefu zilivyo anzia nyumba.

2;waliokosa malezi na uzoefu wa kuaminishwa kusima sana ili baadae uje kuajiriwa, wengi wa hawa huwa hajasoma kabisa au waliacha shule mapemaa, wakajikuta wapo kwenye situation amboyo UDHUBUTU ndio njia pekee ya kutoka kimaisha.

3; watu wacheche sana walio soma sana(hadi chuo) kujiajiri kulingana na fani zao e.g wanasheria,IT, Accountants etc.

Regards
Nawakilisha

Cosmologist....
 
Yes mkuu ni sawa kabisa
 
Ni sahihi kabisa usemavyo ila ukumbuke kuwa SIO WATU WOTE WATAWEZA KUJIAJIRI, WENGINE WATAAJIRIWA ILI KUTIMIZA NDOTO ZA MWAJIRI..

Ukiangalia wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa wenye majina wote hao wameajiri watu kwa ajili ya kuendeleza kazi zao..



NB: Sipingi wazo lako ila nimejaribu kuonesha hali halisi ilivyo kwa hiyo watakaoweza kujiajiri vyema na watakaoajiriwa Sahihi pia
 
Mkuu unachosema ni kweli kabisa.

Mimi nilikusanya boom za chuo 2 na ela ya field nikalala mbele.

Kwa Leo nisiongee sana lakini baada ya miaka 3,ntakuja kufungua Uzi kuelezea safari yangu ya mafanikio.
 
we Webb ni hatari. Ila hata mitaala inadilike ilikuendana na wakati
 
Ni kweli watu tumekuwa wavivu waoga wa kuthubutu
Halafu huwa nafikiri kuwa ni kitu labda cha kurithi!!!!!
MTU labda ana kazi! Ameajiriwa lakn anashindwa kujiongeza angalau awe na different source ya income

Tunasubir na kulaumu mshahara ukicheleweshwa

Tuamke jamani ukifanya kitu japi kidogo Mungu ni mwema atakuwa pamoja nawe
 
Mleta mada toa Mfano wa nchi ambayo imefanikiwa kufanya watoto wao kutotegemea Ajira Kwa maisha Yao.Huko ambalo hizo Dhana za kuthubutu zimezaliwa ndiyo Kuna shida za ajira.Kiyosaki amehubiri huko developed countries lakini bado shida ipo.Kuna kitu zaidi ya kuwawezesha watoto.Unajua kwa nini watoto wa wajasiramali walipopita shule ili waje kuendeleza miradi ya Baba zao wakapotea huko kwene ajira? Sisi hata hatujui faida za ajira.Waulize US Kwa nini watu wana-Atape kupata MBA toka prestigious Schools-Yale,Harvard etc.
 
Utawajua watu. Nyie ndo wale mnaambiwa hakuna haja ya maendeleo kwa sababu mbona nchi fulani iko hivi.

Sikiliz wewe wakati China inajengwa hawakuangalia nchi nyingine zaidi yao wao.

Kila nchi inajijenga kwa kujiangalia yenyewe.

Sasa nyie mmeisha aaminishwa kwamba kama nchi fulani haijapiga hatua basi na sisi haina haja.
 
Hahaaa watu hawaelewi ila mbele ya safari ipo siku wataelewa. Juzi kuna jamaa kanipigia na kwa sasa kazi hana na baada ya kusoma uzi humu jf ikibaidi anitafute.
 
Dubai inaajili kutoka nje wazawa hawataki kabisa ajira
 
KARIBU KWENYE FURSA YA KUONGEZA KIPATO

Kuna fursa moja ambayo itaongeza kipato chako.


Jiunge na ajira hii ya mtandaoni kwa manufa yako mwenyewe


1. Ajira hii haiitaji kipato wala elimu inaitaji muda na kifurushi cha intanet


2. Malipo yake yana fanyika SAA yoyote ndani siku za kazi pale uta kapo hitaji ulipwe


3. Ukijiunga ili uweze kupatiwa pesa zako itakubidi ufikishe dola 150$ kwamara yakwanza hi wana ifanya ili kujua kama upo serious kufanya kazi nao.ila ukisha to a kwa Mara ya kwanza baada yahapo itakua unalipwa kila unapo fikisha 5$ nakuendelea


4. Malipo yana fanyika kwenye account ya benki yoyote APA nchini kwetu


Ku pata dola 150$ ni rahisi itakuchukua SAA moja na nusu kwa kufanya kazi bila kusimama bila kusimama


Kazi yenyewe nikungiza namba ya matangazo yanayo wekwa kwenye tovuti hapo chini ili kujiunga


Boyeza linki

Viewing payed advertising sites jmoney.site - Welcome! - Welcome!

Unaweza ukawa shilikisha na wenzako
 
One of the reason rich get richer,poor get poorer and middle class struggle for debt is that the subject of money tought at home and not at school.How can poor parents teach their child about money.Hili ndo tatizo walimu wetu shuleni wanatufundisha tusome ili tuje kuwa wafanyakazi pia hata wazazi wetu wanatufundisha hivyohivyo
 
[emoji385][emoji383][emoji387][emoji386][emoji386][emoji387][emoji383][emoji385][emoji125][emoji125]
Wageni karibuni wote
Humundani kuna fursa moja ambayo ita wainua watu wengi.

Jiunge na ajira hii ya mtandaoni kwa manufa yako mwenyewe

1.ajira hi aitaji kipato wala elimu INA itaji muda na kifurushi cha intanet

2.malipo yake yana fanyika SAA yoyote ndani siku za kazi pale uta kapo hitaji ulipwe

3.ukijiunga ili uweze kupatiwa pesa zako itakubidi ufikishe dola 150$ kwamara yakwanza hi wana ifanya ili kujua kama upo serious kufanya kazi nao.ila ukisha to a kwa Mara ya kwanza baada yahapo itakua unalipwa kila unapo fikisha 5$ nakuendelea

3.na malipo yana fanyika kwenye account ya benki yoyote APA nchini kwetu

Ku pata dola 150$ ni rahisi itakuchukua SAA moja nanusu kwa kufanya kazi bila kusimama bila kusimama

Kazi yenyewe niku angalia ma tangazo yanayo wekwa kwenye tovuti apo chini ili kujiunga

Boyeza linki[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Viewing payed advertising sites qmoney.host - Welcome!
Unaweza ukawa shilikisha na wenzako

[emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…