Pale tunapoendelea kupalilia kizazi cha watu kutothubutu, waoga na wategemea kuajiriwa

Pale tunapoendelea kupalilia kizazi cha watu kutothubutu, waoga na wategemea kuajiriwa

Mkuu unachosema ni kweli kabisa.

Mimi nilikusanya boom za chuo 2 na ela ya field nikalala mbele.

Kwa Leo nisiongee sana lakini baada ya miaka 3,ntakuja kufungua Uzi kuelezea safari yangu ya mafanikio.
karibu sana chief.
 
Humu ndani ni ukweli kwamba kila mtu ana ndugu na jamaa na marafiki ambao kwa sasa wako kitaa hawana kazi na wengine wamepiga hada Masters na wako mtaani.

Kizazi cha kuto dhubutu kilianza enzi za ujamaa ila pamoja na ujamaa kuisha badi kizazi hicho kingalipo. Kwa sasa kuna tatizo kubwa sana la ajiea na muda si mrefu hili tatizo litakuwa katika kiwango ambacho hakiwezi dhibitiwa.

Watu wamesoma wako mtaani, watu wamemaliza mwaka 2013 wako mtaani wanatafuta kazi.

KWA NINI WAKO MTAANI?

-wazazi wao waliwaaminisha wasome waje kuajiriwa wawe mameneja hivyo wao tangu wanasoma walijua wanaenda kuajiriwa.

- Walimu nao waliwasisitizia wasome waje kupata kazi nzuri waajiriwe kwenye kampuni kubwa

- Marafiki nao waliwasisitizia hivyo hivyo.
-Kaka zao na ndugu wengine waliwasisitizia hivyo hivyo wasome waje kupata kazi nzuri.

- Majirani zao wate, mashangazi,wajomba wote wameajiriwa .

Hawa walioko mtaani ni zao la muda mrefu sana la kupandikiziwa habari za kwamb wanasoma waje kupata kazi nzuri, wawe mameneja.

Sasa ndo hapo wako mtaani wanasubilia zile ndoto za kazi nzuri zitimie.

SASA BASI

Tunapojaribu kupunguza kizazi cha kiwaza ndani ya box tunaonekana wabaya eti tunachukia wafanya kazi.

Nani anachukia wafanyakazi? wafanyakazi si ndo wanunuzi wakubwa? wafanyakazi si ndo wanapesa za kununua? Humu tunajaribu kutengeneza kizazi cha watu kudhubutu, kizazi cha watu wasio kiwa waoga, kizazi cha watu watakao soma wakiju wanaenda kuwa wajiri.

HUMU WANAINGIA WANAFUNZI WA VYUO

Sasa wakiingia humu napo wakutane na story za kuajiriwa si ndo hapo wanapo endelea kijuakwamba wanasoma wakaajiriwe?

Watu watandelea kujaa kwenye Interview kwa sababu tuna kizazi cha kuaminiswa kwamba tunasoma tuajiriwe na still hicho kizazi kinaendelea kiwepo.

HAKUNA ANAYECHUKIA WAFANYAKAZI BALI TUNATENGENEZA KIZAZI CHA KUJARIBU AU KUDHUBUTU.

NB: anzeni kubadilisha mindset za watoto wenu, waambie wanasoma waje kuwa wafanya biashara wakubwa, wanasoma waje kuajiri watu wengine, wanasoma waje kufungua kampuni zao.

ACHENI KUENDELEA KUWAAMINISHA KWAMBA WANASOMA WAJE KUWA MAMENEJA NA WAFANYE KAZI BANDALINI AU BENKI.
Huu ni uzi wa pili nondo nauona humu JF leo, wenye tija kwa vijana!!
 
[emoji385][emoji383][emoji387][emoji386][emoji386][emoji387][emoji383][emoji385][emoji125][emoji125]
Wageni karibuni wote
Humundani kuna fursa moja ambayo ita wainua watu wengi.

Jiunge na ajira hii ya mtandaoni kwa manufa yako mwenyewe

1.ajira hi aitaji kipato wala elimu INA itaji muda na kifurushi cha intanet

2.malipo yake yana fanyika SAA yoyote ndani siku za kazi pale uta kapo hitaji ulipwe

3.ukijiunga ili uweze kupatiwa pesa zako itakubidi ufikishe dola 150$ kwamara yakwanza hi wana ifanya ili kujua kama upo serious kufanya kazi nao.ila ukisha to a kwa Mara ya kwanza baada yahapo itakua unalipwa kila unapo fikisha 5$ nakuendelea

3.na malipo yana fanyika kwenye account ya benki yoyote APA nchini kwetu

Ku pata dola 150$ ni rahisi itakuchukua SAA moja nanusu kwa kufanya kazi bila kusimama bila kusimama

Kazi yenyewe niku angalia ma tangazo yanayo wekwa kwenye tovuti apo chini ili kujiunga

Boyeza linki[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Viewing payed advertising sites qmoney.host - Welcome!
Unaweza ukawa shilikisha na wenzako

[emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161]
Ndugu unahaha hivi kwa virtual money ambayo hautokuja kupata huu muda unaotumia kutangaza hii SCAM si ungetafuta bidhaa za kuuza na kuzitangaza ili watu wanunue!?
HAKUNA PESA RAHISI KIASI HIKI
 
Back
Top Bottom