Pale tunapoendelea kupalilia kizazi cha watu kutothubutu, waoga na wategemea kuajiriwa

Mkuu unachosema ni kweli kabisa.

Mimi nilikusanya boom za chuo 2 na ela ya field nikalala mbele.

Kwa Leo nisiongee sana lakini baada ya miaka 3,ntakuja kufungua Uzi kuelezea safari yangu ya mafanikio.
karibu sana chief.
 
Huu ni uzi wa pili nondo nauona humu JF leo, wenye tija kwa vijana!!
 
Ndugu unahaha hivi kwa virtual money ambayo hautokuja kupata huu muda unaotumia kutangaza hii SCAM si ungetafuta bidhaa za kuuza na kuzitangaza ili watu wanunue!?
HAKUNA PESA RAHISI KIASI HIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…