Pale umaarufu, trend na umashuhuru utakapohamia ndipo mwanamke anapoenda.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kuna wakati warembo wetu hawakutaka kusikia kitu kinaitwa soka ila soka la bongo lilipo fanyia investment na promotion ya nguvu basi dada zetu hao wakatia kambi🤣 ili wawe na show off na gears za ki-soka


Kuna wakati mwanamke mnene na makalio alionekana kama kama mzigo fulani hivi akawa stereotyped na kufanyiwa utani katika jamii, ila pale vijana walipogeuza macho kutoka usoni na kwenda makalioni basi wadada haooo wakatia nia🤣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…