Pale unapokuwa umefulia sana...

Pale unapokuwa umefulia sana...

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
*Pale unapokuwa umefulia sana...Mgeni anakutembelea Maskani kwako....Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni......Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite .....Bwana....Bwana. ...Bwana....Weee* 😂😂😂😂😂😂😂
 
Mgeni huwa anaulizwa unatumia soda gani? Kama mfuko wako umeishia hapo, kama upo vizuri unamuuliza unatumia kinywaji gani?
 
Hii Meseji au Ujumbe niliwahi kuuona katika Makundi ya Wasapuu Mwaka 2016.

Mgeni Maji yanamtosha tu.

Siishi ila kuwafurahisha Watu,Naishi kwa kadri ya Uwezo Wangu.




" I Think,Therefore Iam"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom