Kumbe ipo sekta nyingi tu hii issue π πInaitwa wrong toilet
View attachment 2945926
Adapt. Overcome. Improviseβ’ Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale π€, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, Gafla tu !!!!!. Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina mchepuko mwingine kabisa ndani ya mazungumzo yenu. Huwa mna-solve vipi hili Balaa π€??
β’ Dah, mimi huwa naishia kupigwa vibuti tu... π€π€
kimeumanaInaitwa wrong toilet
View attachment 2945926
AKILI AKILI MTU WANGUAbsolutely! Being adaptable overcoming obstacles, and using creativity are crucial in facing challenges.
mimi niliitwa jina la mwanamke mwingine akanambia ni jina la mama ake sababu ananichukulia kama mama ake,nilivo ndezi nkachekelea na kuamini[emoji23][emoji1487]β’ Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale [emoji1666], kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, Gafla tu !!!!!. Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina mchepuko mwingine kabisa ndani ya mazungumzo yenu. Huwa mna-solve vipi hili Balaa [emoji848]??
β’ Dah, mimi huwa naishia kupigwa vibuti tu... [emoji855][emoji855]
Hupendi ugomvi kabisa mkuu safi sana, au ana maokoto standard gauge?mimi niliitwa jina la mwanamke mwingine akanambia ni jina la mama ake sababu ananichukulia kama mama ake,nilivo ndezi nkachekelea na kuamini[emoji23][emoji1487]
πππmimi niliitwa jina la mwanamke mwingine akanambia ni jina la mama ake sababu ananichukulia kama mama ake,nilivo ndezi nkachekelea na kuamini[emoji23][emoji1487]
π π π , Hapo alikuzidi ujanja.. Vipi baadae ulikuja kujua au jamaa alishinda game?mimi niliitwa jina la mwanamke mwingine akanambia ni jina la mama ake sababu ananichukulia kama mama ake,nilivo ndezi nkachekelea na kuamini[emoji23][emoji1487]
umiza kichwa utavuka tuπ¬π¬, kila nikifikiria kuna ugumu sana...
π€£π€£π€£π€£, Huwa ni wakali Sana, yani hapo hupigia mstari kuwa huyu kuna mpenzi anaye mpenda zaidi yake.Mi ilinikuta maandalizi yashakamilika kabisa bado tu kisu kiwekwe kwenye ala, sijui nilijichanganya wapi nikaropoka jina la pisi nyingine
Na bora hata pisi yenyewe ningekuwa naipenda sana ningesema upendo ulinisukuma, ni shetani tu akiamua kufanya yake hakosi sababu
Na asikwambie mtu kuwa demu akilegea unaweza fanya chochote, maana alivyoswitch kutoka kwenye ile mood na kuwa ninja ghafla mpaka leo sipati majibu mademu huwa wanatuigizia au la
Maana nilinyimwa mchezo wakati tayari tupo kwenye suti ya asiliπ
πππππInaitwa wrong toilet
View attachment 2945926
atoe wapi mkuu,ushawahi sikia mapenz uchizi?Hupendi ugomvi kabisa mkuu safi sana, au ana maokoto standard gauge?