Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Teknolojia imekua, na mambo mengi yanafanyika kutokana na ukuaji huo wa teknolojia ili kurahisisha mambo. Kwa upande wa uhusiano, unaweza kutafuta mchumba popote pale duniani na mkaonana kwa kutumia vifaa vya mawasiliano.
Kumekuwa na wimbi la kutafuta wachumba kimtandao, na wakati mwingine inafikia pande zote mbili kutaka kuona muonekano wa mwenzake.
Swali, Utajisikiaje pale unapotafuta mchumba kwa njia ya mtandao kwa kutumia video conference, na ukakataliwa na muhitaji baada ya kuona sura au muonekano wako?