Pale unapotafuta mchumba kwa kutumia Video Conference na ukakataliwa na muhitaji baada ya kukuona

Hivi humu ndani kuna watu wenye sura mbaya?

JF kila mtu ni handsome na ana "kipato cha kati".

Sidhani kama kuna mtu ameshawahi kukataliwa humu! Humu kila mtu ni presentable.

Laiti kama keyboards zingekuwa zinaonesha sura, kwa hakika hata kule PM pangechacha.

Everyone is cute behind keyboards until you meet them in person and regret why you wasted your time being so romantic.
 
ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom