Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuna chanel moja niliangalia, mtu anakataliwa 'live' jamaa anajitetea kama anaomba ajira, anatazamwa halafu anaambiwa hapana....Hata sijawahi kutafuta kwa njia hiyo.
ha ha ha alafu unachanwa huku umma wa watu ukikutazamaKawaida tu,
Kwa kuwa anaekukataa atasema sijavutiwa nawe japo wew waweza kua mzur zaidi kwa mtu mwingine, huenda kwa kigezo cha rangi.
Lakin kama unachanwa kabisa wew mbaya, hapo ni tatizo
Dah yaani mimi msichana akinikataa basi anashusha confidence yangu hatari...Ila bora unikatae kuliko unichume na kucheza na emotions zangu.Kuna chanel moja niliangalia, mtu anakataliwa 'live' jamaa anajitetea kama anaomba ajira, anatazamwa halafu anaambiwa hapana....
Kweli mkuu,ila inaumiza kisaikolojia
Kisaikolojia utajihisi vipi, ikiwa yule anatafuta na wewe unatafuta; ila baada ya kuona muonekano wako...anasema wewe humfai?Katika kutafuta kuna kupata na kukosa yote matokeo
Kweli mkuu,lazima ujiandae kwa matokeo ya aina yoyoteNi suala la kawaida.
Halaf always weka kichwani , si kila unapo date na mwanamke utafanikiwa.
Kuna kupoteza na kupata.
Huyo anae kukataa ana vigezo vyake. Huwez mlazimisha akukubali.
Kuna mwingine atakukubali hata kama una sura chungu.
So ni game of probability.
Don't take it negative pengine you're too expensive kuliko yeye, amejipima akaona levels zipo tofautianaKisaikolojia utajihisi vipi, ikiwa yule anatafuta na wewe unatafuta; ila baada ya kuona muonekano wako...anasema wewe humfai?
Unaweza ukajitundika mkuuWe mzee ni matata sana sasa utafanyaje zaidi ya kukata simu hapo hapo maana shughuli ndio imeshaisha hivyo fungu la kukosa.
Inabidi kuwa na jibu la kujifarijiDon't take it negative pengine you're too expensive kuliko yeye, amejipima akaona levels zipo tofautiana
Utakuwa ni upuuzi zaidi ya kiwango cha lami wanawake wote waliojaa Duniani hapa ni 5 billion unakosaje sasa tuanzie hapo kwanza [emoji16]Unaweza ukajitundika mkuu
Jiamini huwezi kumpendeza kila mtu,Inabidi kuwa na jibu la kujifariji
Kuna cha kujifunza hapaUtakuwa ni upuuzi zaidi ya kiwango cha lami wanawake wote waliojaa Duniani hapa ni 5 billion unakosaje sasa tuanzie hapo kwanza [emoji16]