Pale Zari atakapojua Hamisa Mobeto ndiyo Salome

Kwa jinsi alivo furahi kuonekana sijui hata kama alilipwa, kama alilipwa si nyingi

Yaani kafanya akiwa proud kabisa, na anataka tujue yeye ndo alikuwepo kwenye kideo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yani hata asipolipwa senti moja kushiriki hiyo project ni malipo tosha. Amefurahi mpaka basi
 
Tabu ipo wapi? Muhimu Zari na mumewe Baba Tiffah wanahesabu pesa.

Inaelekea wengi mlipitwa na sakata la Hamisa kuwemo ktk kideo cha Baba Tiffah...ndio maana mnaona ukimya hakuna udaku tangu jana

Pole yenu kwa kutaka kuchokonoa, tuliyoyafunika zamani.
 
Wewe unakaa madale?
Kwa taarifa yako tunao mwanachama wetu wa SHILAWADU yupo hapo hapo madale kutwa anamwaga miubuyu mitamu ya SHILAWADU.
 
Kwaiyo Mnataka kusema zari hakuwa anafahamu chochote kuhusu hii video?

Hakujua kuhusu nyimbo? Hakujua kuhusu model atakae tumika?

Watanzania sisi cjui tukoje.
Alikua anafahamu na alitaka kuwepo kwenye video akaambiwa haifai akae kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…