Pale Zari atakapojua Hamisa Mobeto ndiyo Salome

Pale Zari atakapojua Hamisa Mobeto ndiyo Salome

Tabu ipo wapi? Muhimu Zari na mumewe Baba Tiffah wanahesabu pesa.

Inaelekea wengi mlipitwa na sakata la Hamisa kuwemo ktk kideo cha Baba Tiffah...ndio maana mnaona ukimya hakuna udaku tangu jana

Pole yenu kwa kutaka kuchokonoa, tuliyoyafunika zamani.
Mange ilimfanya awe bize sana hii story
 
Hapo ndo nnapomkubali Naseeb, huwa anajua sana kucheza na akili za mashabiki wake,
 
jamani diamond hajaoa mkumbuke pia...

anaweza akawa na hamisa kwanza

kigezo cha umri

kingine dini!!

zari christian halafu mbibi sana
 
ingelikuwa tamu kama video Queen angelikuwa Saida Karoli...
 
diamond anapenda sana kutengeneza stori ili awe juu...

nina uhakika kamuweka hamisa mobeto makusudi ili stori iwepo...

hii video ni full of drama..

maana kuna aunty ezekiel na mose iyobo

kuna harmonise na wolper..

kuna masister du ma models na miamvuli wote ambao watu watapata topic ya kuiongelea video..

hapa ndipo diamond anapoteka soko maana wabongo wanapenda umbea na kucheza tu
 
Tabu ipo wapi? Muhimu Zari na mumewe Baba Tiffah wanahesabu pesa.

Inaelekea wengi mlipitwa na sakata la Hamisa kuwemo ktk kideo cha Baba Tiffah...ndio maana mnaona ukimya hakuna udaku tangu jana

Pole yenu kwa kutaka kuchokonoa, tuliyoyafunika zamani.
Aiseee na huyu ndio nani tena?!
 
Back
Top Bottom