Pale Zari atakapojua Hamisa Mobeto ndiyo Salome

Mwacheni Chibu ajilie vitamu. Maisha yenyewe haya mafupi.
 
Kwa jinsi alivo furahi kuonekana sijui hata kama alilipwa, kama alilipwa si nyingi

Yaani kafanya akiwa proud kabisa, na anataka tujue yeye ndo alikuwepo kwenye kideo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
umeona ee!? mi nadhani yy ndo alielipa ili aonekane kwenye video. hahahha umaarufu wa TZ kazi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
umeona ee!? mi nadhani yy ndo alielipa ili aonekane kwenye video. hahahha umaarufu wa TZ kazi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tz pocble maana si kwa kufurahi huko
 
Hahha na wamekomeshwa kweli hahaha wamebak macho kodo kodo wakiongozwa na mama kiherehere ulimwengu mzima hakuna Mangeta kimambii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tz pocble maana si kwa kufurahi huko
Hahahaha jaman wabongo nimewanyooshea mikono!
Looh
Hapo angenuna video ooh mngesema mbaya hajapendezea haya kavaa uhusika ooh kajilipia il aonekane kweny video hahaa hamna jema nyie waja jamani
Btw namuonaga hamissa mambo yake chini chini lkn n kazuri huwez amin kama amezaa
 
Hahaa
Video ameitendea haki lakini
Ngoja na yeye afurahi kwa
 
Hamissa hapo m naon kaiachia kabsa cz anajitengenezea njia maana hapo video inaangaliwa afrika nzima so anaweza opoa kaz nyingine
Ila watz sasaaaaa uhhh
Haaa
Inaangaliwa dunia nzima mam
Kwa hiyo kafanya la maana sanaa

Nadhani kuwa kwenye kichupa cha mondi lilikuwa ni jambo analo penda sanaa
 
Haaa
Inaangaliwa dunia nzima mam
Kwa hiyo kafanya la maana sanaa

Nadhani kuwa kwenye kichupa cha mondi lilikuwa ni jambo analo penda sanaa
Heh saaaanaa naona amefurahi pia kweli kutoka moyoni na nina his watu wng wanamtamnia kama diva leo nimeona amempa mashout out ya hatar insta amemwambia naona uko level nyingne kbsaaa yaan nikahs huy diva anajifanya ana beef n dai ila naona anatamn sanaaa awe karib yake ila mashauz sasa
 
Kwa jinsi alivo furahi kuonekana sijui hata kama alilipwa, kama alilipwa si nyingi

Yaani kafanya akiwa proud kabisa, na anataka tujue yeye ndo alikuwepo kwenye kideo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kideo[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Diva na mimi nilijua alisha gombana na domo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…