Umeniweza[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113][emoji818] [emoji817]
[emoji1]
Umethbtshaaaa?Heehheeheh hua anapiga hapo kitambo
Mange ilimfanya awe bize sana hii storyTabu ipo wapi? Muhimu Zari na mumewe Baba Tiffah wanahesabu pesa.
Inaelekea wengi mlipitwa na sakata la Hamisa kuwemo ktk kideo cha Baba Tiffah...ndio maana mnaona ukimya hakuna udaku tangu jana
Pole yenu kwa kutaka kuchokonoa, tuliyoyafunika zamani.
Domo cyo level za diva at all......diva level zingne[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Diva na mimi nilijua alisha gombana na domo.
yani uko serious kwenye haya maswala ya diamond kiasi hiki?Bado hujanishawishi kwa hili.
ππππ hapana mkuu siwezi kuwa sirious na maisha ya watu naamini hata wewe hukuwa serious.yani uko serious kwenye haya maswala ya diamond kiasi hiki?
Mwenye wivu ajinyonge kweli, mwenye wivu ajinyongeee. Mwanaume huyu mhhh!!? Ninavyompenda, ilo domo kulinyonya Mh!!Mwacheni Chibu ajilie vitamu. Maisha yenyewe haya mafupi.
Aiseee na huyu ndio nani tena?!Tabu ipo wapi? Muhimu Zari na mumewe Baba Tiffah wanahesabu pesa.
Inaelekea wengi mlipitwa na sakata la Hamisa kuwemo ktk kideo cha Baba Tiffah...ndio maana mnaona ukimya hakuna udaku tangu jana
Pole yenu kwa kutaka kuchokonoa, tuliyoyafunika zamani.