Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miungu iko mingi; mingi mno chief. miungu haina idadi toka enzi na enzi wanadamu wamekuwa na kila aina ya miungu na itaendelea kuwa hivyo.Kumbe kuna Mungu wa ngapi?? Kuna Mungu wa Wahindi. Mungu Wa Wafrika.. kuna Mungu wa wazungu, Wachina wa waKorea wa waarabu wa Jua wa mwezi na wawanyama !!!! Eeeeh pole Mungu..wee
... Lukuvi tena! Ha ha ha! Mfupa mgumu ule. Nebukadreza mwenyewe kaucha kama ulivyo ndio itakuwa Lukuvi chief? Usimwonee Lukuvi wa watu kumtaja kwenye mambo yasiyomhusu.Wapalestina bwana sijui walimkosea nini Allah maana mgogoro wao wa ardhi umeshindwa kusuluhishwa kabisa hata na Lukuvi
Nikiwa kama mkatoliki safi nakushangaa wewe unayeyetea vitu usivyovijua. Yaani hawa wazungu waliokosa ardhi ujerumani na ulaya unawaita ndio kizazi cha ibrahimu? Kwa taarifa yako waizrael bado wapo utumwani wabahangaika.... kutangaza kuifuta Israel kwenye uso wa duniani was one of the biggest mistakes ever!
Kwa kuwa mbingu na ardhi zitapita bila hilo kutekelezeka;
na kwa kuwa ardhi ile alipewa Ibrahim kuwa miliki yake na kizazi chake milele;
na kwa kuwa mbingu na ardhi zitapita bila yodi wala nukta moja ya Torati kutanguka;
hivyo basi, wenye akili wamegundua kuendelea kushupaza shingo ni kujilisha upepo.
Ni busara Palestina ikaungana na waarabu wenzie wenye nia njema kutafuta amani na Israel kwa faida yao wenyewe na vizazi vyao kwani hayo wanayoyatamani na kuyataka hayatokaa yatimie hadi kiama!
... haina shida; wafuteni kwenye uso wa dunia kama mlivyojiapiza!Nikiwa kama mkatoliki safi nakushangaa wewe unayeyetea vitu usivyovijua. Yaani hawa wazungu waliokosa ardhi ujerumani na ulaya unawaita ndio kizazi cha ibrahimu? Kwa taarifa yako waizrael bado wapo utumwani wabahangaika.
Unajishughulisha kumjibu huyo unajisumbua. Mwenzio hata hajui kuwa hilo taifa analoliabudu halikuwepo kablaya 1948Unaleta hadithi za kusadikika??? Mzee baba!
dogo Ibrahim ni nani kwa warabu? Na nani kwa waisrael?... kutangaza kuifuta Israel kwenye uso wa duniani was one of the biggest mistakes ever!
Kwa kuwa mbingu na ardhi zitapita bila hilo kutekelezeka;
na kwa kuwa ardhi ile alipewa Ibrahim kuwa miliki yake na kizazi chake milele;
na kwa kuwa mbingu na ardhi zitapita bila yodi wala nukta moja ya Torati kutanguka;
hivyo basi, wenye akili wamegundua kuendelea kushupaza shingo ni kujilisha upepo.
Ni busara Palestina ikaungana na waarabu wenzie wenye nia njema kutafuta amani na Israel kwa faida yao wenyewe na vizazi vyao kwani hayo wanayoyatamani na kuyataka hayatokaa yatimie hadi kiama!
Kila kikao kinachofanyika Israel huwa imeshatanguliza wajumbe wanafiki kuwatetea.Huyu akisema hivi yule anajibu vyengine mpaka mwisho.Gaddafi aliwachana waarabu na kuwaambia ni unafiki mtupu ndani. Wanakutana vikaoni lakini kila mmoja anamchukia mwenzake!
Palestina tangu zamani ni tajiri sana wana ardhi nzuri ya mizaituni ambayo ni chakula bora hasa mafuta yake yanauzika dunia nzima.Mashamba yao ndhio hayo yanayotekwa na kuvurugwa na wayahudi.Wana bahari yenye samaki wengi ambapo wanaweza kula na kusindika wakauza mpaka Tanzania lakini hawaachiwi kuvua zaidi ya masafa mtu anapoweza kuogelea na kurudi ufukweni.Palestina yenyewe ishachokwa kitambo ndio wakati wake wakutokomezwa. Hana ubavu wa Kushindana na Arabs Country pia Palestina ni Omba omba tu.
Wewe umekosa akili kwanini tusikuuze wewe unataka tutoe ardhi ya taifa letu kwa manufaa ya nani.Hivi wa Palestine hawana hela tuwauzie hata Wilaya ya kaliua ?
Maana hiyo nchi hawaipati na waarabu wenzao washatambua hivyo hawana mda wa kupoteza kushirikiana na mnyonge
Unatofautisha vp "Mungu na mungu" kwenye matamshi?... miungu iko mingi; mingi mno chief. miungu haina idadi toka enzi na enzi wanadamu wamekuwa na kila aina ya miungu na itaendelea kuwa hivyo.
... umenikumbusha homophones - maneno yenye matamshi yanayofana (sea vs see, eye vs I, etc.). Context itatofautisha.Unatofautisha vp "Mungu na mungu" kwenye matamshi?
Hakuna cha mungu wa yakobo wala mungu wa kidunya. Huu ni utumwa wa kishamba sanaMungu wa Yakobo aibariki sana Israel. Neno lake litasimama milele na milele. Amen.
Kuna mmoja aliniambia "Mungu" inatamkika "Muungku" halafu "mungu" inatamkika "mungu"Unatofautisha vp "Mungu na mungu" kwenye matamshi?
Duh!huyo jamaa alitisha, hilo neno hata kulitamka tu linanipa tabu sijui lugha gani hiyo.Kuna mmoja aliniambia "Mungu" inatamkika "Muungku" halafu "mungu" inatamkika "mungu"
Inawezekana ukawa na wazo la msingi ila lime base kidni zaid (Biblia) , maana hii hadith ya wana wa Israel ilivyo kwenye Biblia na kwenye Quran ni tofaut ndo maan hata vita vyao haviishi pia, kwa hiyo hili suala lichumbue tu katika mtazamo wa siasa za kidunia ila ukipeleka katika mtizamo wa kidini basi utaishia kukosa ya kwanini vita ya wayahudi na waarabu wa palestina haijaisha since 1948 mpka leo... kutangaza kuifuta Israel kwenye uso wa duniani was one of the biggest mistakes ever!
Kwa kuwa mbingu na ardhi zitapita bila hilo kutekelezeka;
na kwa kuwa ardhi ile alipewa Ibrahim kuwa miliki yake na kizazi chake milele;
na kwa kuwa mbingu na ardhi zitapita bila yodi wala nukta moja ya Torati kutanguka;
hivyo basi, wenye akili wamegundua kuendelea kushupaza shingo ni kujilisha upepo.
Ni busara Palestina ikaungana na waarabu wenzie wenye nia njema kutafuta amani na Israel kwa faida yao wenyewe na vizazi vyao kwani hayo wanayoyatamani na kuyataka hayatokaa yatimie hadi kiama!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] acha dharau brooHivi wa Palestine hawana hela tuwauzie hata Wilaya ya kaliua ?
Maana hiyo nchi hawaipati na waarabu wenzao washatambua hivyo hawana mda wa kupoteza kushirikiana na mnyonge
Hapo inategemea na imani au mtazamo wa mtu,mfano wewe utasema Yesu ni "Mungu" ila muislamu atasema Yesu ni "mungu" na si Mungu.... umenikumbusha homophones - maneno yenye matamshi yanayofana (sea vs see, eye vs I, etc.). Context itatofautisha.
Mkristo akisema Allah ni mungu na Mohamed ni mtume wa uongo atakuwa anakosea?Hapo inategemea na imani au mtazamo wa mtu, mfano wewe utasema Yesu ni "Mungu" ila muislamu atasema Yesu ni "mungu" na si Mungu.