This is irrelevant to the topic of discussion and it seems you're far from your senses and you're driven merely by religious bigotry than reasoning to write.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu sasa anajidqi sio mungu kafanya aya!! Lkn sasa ingekuwa ndio IRAN inaungua kama ivi nyinyi apoo ndio mngedai Sijui Jehova sijui wana wa Jakobo ukishindana nao mungu wa Israel ana nguvu yani saiiiiiii apa tungekuwa tunachungulia na kusepa Jehova Jehova leo Haa sio mungu ni mambo ya asili!!!! Mnarukaruka kama pop corn!!!Tafuteni njia muwaumize na ninyi sio kutegemea majanga, hapo likiisha hili janga mnaanza tena kuomba mungu aingilie kati vita ya Gaza.
Unadhani kila mtu ana chuki za kidini kama ulivyo wewe!! Badili mtazamo kijana.Tatizo lenu sasa anajidqi sio mungu kafanya aya!! Lkn sasa ingekuwa ndio IRAN inaungua kama ivi nyinyi apoo ndio mngedai Sijui Jehova sijui wana wa Jakobo ukishindana nao mungu wa Israel ana nguvu yani saiiiiiii apa tungekuwa tunachungulia na kusepa Jehova Jehova leo Haa sio mungu ni mambo ya asili!!!! Mnarukaruka kama pop corn!!!
Unajaribu kulinganisha roho za watu na vitu mali nyumba, gari.Karma is real mzee hata kama hautarelate na ghaza but me naamini kinachowakuta ni karma ya kile walichokifanya, loss watakayoipata itaexceed zaidi ya mara tano ya ile hasara ya ghaza.
Inaonekana hujui moto, kama kuna upepo hauzuiliwi na barabara ili mradi tu upande wa pili kuna nyasi au mitiPamoja na hilo moto huo unafikirisha moto unavuka mpaka barabara huon maajab hapo
Saudia kwenye kuhiji watu wanakanyagana mpaka tuseme Lile ni onyo mnapewa kwamba muache ujinga sio?Unaacha kuwaonea huruma watu waliokuwa wakichanga hela ili watu wauliwe leo wanalia ovyo kwenye tv na kupelekewa misaada ya nguo na chakula unawaonea huruma waislamu?
mtu akianguka kwwnye watu wengi watu wanyakanyagana ,haya tuambie ule moto wa california unaovuka hadi barabara weww unaonaje? Na cha ajabu yule aliyesema kill them all ndio wa kwanza kwenda kulia kwenye tv ili dunia nzima ipate somo, na uzuri hata insurance hana iliisha tangu july, sasahivi yupo barabarani anapokea chakula cha msaada na nguoSaudia kwenye kuhiji watu wanakanyagana mpaka tuseme Lile ni onyo mnapewa kwamba muache ujinga sio?
Itakuwa umeelewa kinachosemwaThis is irrelevant to the topic of discussion and it seems you're far from your senses and you're driven merely by religious bigotry than reasoning to write.
Ujinga na Upumbavu unawasumbua Gaza watu 46,000 na huko marekani moto umeteketeza misitu na nyumba waliokufa ni 10 huko misitu itapandwa na nyumba zitajengwa kwa mwaka mmoja tu huko Gaza uhai wa hao marehem utarudishwa vipi??? Hata hivyo hakuna uhusiano kati ya Gaza na janga la moto huko Marekani. Gaza magaidi waliua watu Oct 07,2023 na sasa wanavuna walichopanda.Tatizo mlisema ukiibariki Israeli basi nawe utabarikiwa sasa tuna shangaa kinacho ikuta marekani leo
20 vifo vipo vingi lkn bado awajaweza kuwafikia waliokufa kila siku utasikia wanaongezeka!! Lkn zaid majumba GAZA ilivunjwa na uko nako majumba kwama elfu yameteketea watu wapo ukimbizini ndani ya marekani misikiti mingi ya Gaza imeteketea uko nako makanisa mengi yameteketea Gaza imepigwa ya silaha za marekani MOTO umeipiga marekani kias ya ambacho akijawai tokea ktk history ya marekani tangu imeundwa., sisi tutaamini Mungu muweza wa yote kawapa kichapo!!!Unajaribu kulinganisha roho za watu na vitu mali nyumba, gari.
Ghaza wamekufa watu zaidi ya elfu 30 mji wa ghaza umefanywa vifusi
Los Angeles sehemu tu mji imeungua watu waliokufa sidhani ata kama wamefika 20
Kama ni mungu amewalipizia wapalestina kisasi basi amefeli vibaya sana
Kama ni hivyo basi mungu wenu ni mjinga yaani aache kumpla adhabu mtendaji arukie kwa mwingine!! Kama kichapo alistahili kupewa Israel. Naamini mnaunganisha dots ili tu kujipa maneno ya faraja baada ya Hamas kupata kipigo cha kufa mtu hivyo mnatafuta Sympathy kwa nguvu zote hata hivyo haisaidii chochote Hamas na magaidi wengine wanaendelea mpaka sasa hivi kupata kipigo cha mbwa koko tu20 vifo vipo vingi lkn bado awajaweza kuwafikia waliokufa kila siku utasikia wanaongezeka!! Lkn zaid majumba GAZA ilivunjwa na uko nako majumba kwama elfu yameteketea watu wapo ukimbizini ndani ya marekani misikiti mingi ya Gaza imeteketea uko nako makanisa mengi yameteketea Gaza imepigwa ya silaha za marekani MOTO umeipiga marekani kias ya ambacho akijawai tokea ktk history ya marekani tangu imeundwa., sisi tutaamini Mungu muweza wa yote kawapa kichapo!!!
Mnamsingizia mungu tu, yaani awaletee moto ilhali anao uwezo wa kula vichwa vya wadhambi wote.
Unaunderestimate uwezo wa Mungu mkuu, acha mara moja, siku ya kiama bado.
Sahihi kwa Mungu wetu ni kun faya kunShida humjui huyo Mungu tunaye muongelea. Ameshasema mwenyewe kwamba hizi adhabu ni kuwaonjesha tu.
Kingine, Mungu hapangiwi Cha kufanya japokuwa uwezo wa kuiteketeza hiyo miji ni chini ya sekunde.
Happy nyu yia madameNi onyo kwa dunia nzima...kwa haya yote yanayotokea... nyakati zimekaribia
Upo sahihi kiongozi na lipo wazi kabisa marekani wanachezea bakora20 vifo vipo vingi lkn bado awajaweza kuwafikia waliokufa kila siku utasikia wanaongezeka!! Lkn zaid majumba GAZA ilivunjwa na uko nako majumba kwama elfu yameteketea watu wapo ukimbizini ndani ya marekani misikiti mingi ya Gaza imeteketea uko nako makanisa mengi yameteketea Gaza imepigwa ya silaha za marekani MOTO umeipiga marekani kias ya ambacho akijawai tokea ktk history ya marekani tangu imeundwa., sisi tutaamini Mungu muweza wa yote kawapa kichapo!!!
❤️❤️❤️Upo love? Happy new to too cute!Happy nyu yia madame
nipo kipenzi❤️❤️❤️Upo love? Happy new to too cute!