Palestine vs California

Wanaficha,waliokufa ni wengi.
 
Hili ndilo tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini mnaokoteza vi-clip ambavyo hata ukiambiwa uvielezee huwezi Niki ku uliżą swali kuhusu hivyo vi-clip uchwara huwezi kunijibu. Njoo na hoja hizo clip zwie ni nyongeza tu.
Mji unateketea,na teknolojia yote,lakini wameshindwa kuuzima moto,aibu kubwa.Usiyemuweza usimchokoze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…