physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Wanaficha,waliokufa ni wengi.Unajaribu kulinganisha roho za watu na vitu mali nyumba, gari.
Ghaza wamekufa watu zaidi ya elfu 30 mji wa ghaza umefanywa vifusi
Los Angeles sehemu tu mji imeungua watu waliokufa sidhani ata kama wamefika 20
Kama ni mungu amewalipizia wapalestina kisasi basi amefeli vibaya sana