Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
Habari wapenzi!
Katika pitapita zangu nmekutana na video youtube inaelekeza namna ya kujitazama mkono wako ukatambua utazaa watoto wangapi, wangapi wa kike ,wangapi wa kiume. Ndoa nk
Sasa mmejitazama mkono wangu wala hauna vijistari hivyo vya watoto walivyovielekeza.
wakuu mnaofahamu elimu ya mikono kwahiyo inamaanisha sitapata mtoto, maana sina mtoto kwa sasa
Karibuni.