Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
kama wewe ni muislamu, kitendo cha kwenda kwa huyo "mbashiri" anaeangalia alama za mikono na kusikiliza huo ubashiri wake, basi sala zako za siku 40 hazikubaliwi.
hapo umeenda na kusikiliza tu. ukiamini ulichoambiwa na huyo "mbashiri" basi utakua umefanya shirki, na itabidi utubie kwa mola wako. kama hujaenda bado nakushauri usiende.