Naomba niunge mkono hojakwahiyo mkuu hiyo mistari ya watoto umeamini ni watoto kweli?
haya sasa, mistari hauna, je hata watoto hauna/hautakuwanao?
inshu za kipuuzi kama hizo uzipotezeage, umeshakuwa!
Sina watotokwahiyo mkuu hiyo mistari ya watoto umeamini ni watoto kweli?
haya sasa, mistari hauna, je hata watoto hauna/hautakuwanao?
inshu za kipuuzi kama hizo uzipotezeage, umeshakuwa!
Nakazia..Naomba niunge mkono hoja
unamiaka mingapi?Sina watoto
Ni vitu vya kawaida tu vya kujifunza kama ukitaka na ukiamini.
mama angu mzazi alisomwaga mkono na mjuzi angali msichana miaka ya 70 akaambiwa atazaa watt watano wawili watakufa akaona masihara.
Amekuja kukumbuka mwaka huu akanisimulia kuna mtu alinisomaga mkono magomeni tulimzoea sana tukawa tunaona masihara.
kwahiyo ni maajabu tu ya dunia. kama huamini si basi
hayo mambo tunayadharau ila mda mwingine ukweli huja kukubali baadaee baada mambo kutokeakati ya 21-25
watu wanashindwa kutofautisha Fact na uchawihayo mambo tunayadharau ila mda mwingine ukweli huja kukubali baadaee baada mambo kutokea