Palmoni - The Wonderful Numberer, The Numberer of Secrets

Makanisa 7, na mihuri 7, na tarumbeta 7, za kwenye kitabu cha Ufunuo, vina cover the same respective time periods, lakini from different angles.

So kanisa la kwanza, muhuri wa kwanza, na tarumbeta la kwanza, vina cover time period moja, but from different angles. Na hivyo hivyo kanisa la pili, muhuri wa pili, na tarumbeta la pili; hivyo hivyo, kanisa la tatu, muhuri wa tatu, na tarumbeta la tatu; hivyo hivyo mpaka la saba.

Tarumbeta la saba likilia, probation period imeisha (mlango wa neema unafungwa), na kuna kuwa na judgments, na mwisho wa dunia hii unafika.

Note that kanisa la Sardis (kanisa la tano), ndio kanisa la ile miaka 1,260 ya the great tribulation. Na siyo kanisa la Thyatira. Kanisa la 5, muhuri wa 5, na tarumbeta la 5, vina cover the same time period, but from different angles.
 
Jumamosi ni siku ya Saba?
Toeni ufafanuzi enyi nyie watu wa kitabu

Siku ya saba ya kibiblia (sabato) ina anza jua linapozama Ijumaa (Friday), na kuisha jua linapozama Jumamosi (Saturday).

Wiki ya kibiblia inakuwa recognized kwenye wiki ya kisecular via muingiliano wa shughuli za maisha za watu wa enzi za biblia na shughuli za maisha za watu wa enzi za Roman empire, na nchi warithi wa Roman empire (yaani nchi za Ulaya). Wiki ya Roman empire (na warithi wake) ni ile ile hadi leo. Kwahiyo tunakuwa tunaijua wiki ya biblia.

Majina ya wiki ya kiswahili yako influenced na uislamu.

Uislamu unasema Ijumaa ndio siku ya saba ya wiki kwa waislamu, na Jumamosi ni siku ya kwanza ya wiki kwa waislamu. Wiki hii ya waislamu inapingana na wiki ya biblia. Uislamu huwa unapingana na biblia huku ukijifanya kwamba unaunga mkono biblia.

Pia miezi ya kiislamu ni tofauti na miezi ya kibiblia. Na miezi ya kibiblia ni tofauti na miezi ya kisecular.

Miezi ya kisecular ina anza mwezi wa kwanza, ambao unaitwa January. Miezi ya kibiblia ina anza mwezi wa kwanza ambao unaitwa Abib. 1st Abib huwa ina angukia around March au April.

Adam mpaka Enoch mpaka Noah, mpaka Abraham, Isaac, Jacob, mpaka Moses, mpaka kipindi cha Bwana Yesu Kristo, wali itambua wiki ya kibiblia, ambayo ni wiki hiyo hiyo, ambayo inatambuliwa na wakristo hadi leo.
 
Jumamosi ni siku ya Saba?
Toeni ufafanuzi enyi nyie watu wa kitabu
mkuu hii mbona simple
Mkuu kama unajua kitu inaitwa ijumaa kuu itakusaidia kujua kama jumamosi ni siku ya saba
Yesu alisulubiwa siku ya ijumaa ambayo ilikuwa ni maandalio. ndo maana inaitwa ijumaa kuu
yesu akafufuka jumapili, biblia inaiita siku ya ya kwanza ya juma, hivyo jumamosi ndo siku ya saba
Au basi rudi kwa waisrael huko israel bado wanadumisha jumamosi kama sabato hadi leo
ukihitaji ushahidi mwingine nijuze tu
 


Hiyo ni link ya critics wa egw.

Wanatoa taarifa muhimu, kuhusu baadhi ya visions za egw, hususan za huko mwanzoni.

Alikuwa anasema anaona vision, kumbe alikuwa anatoa maoni yake, kutokana na uelewa wake, wa jinsi alivyojifunza kuhusu jambo fulani.

Ila hawa critics, kuna mahali pengine wanaharibu, kwa kukataa mafundisho ya kweli ya kibiblia (kama sabato ya siku ya saba). Ingawa kuna mahali pengine wanapatia, kwa kuunga mkono mafundisho ya kweli ya kibiblia (kama Utatu Mtakatifu).

Hawa critics pia inaonekana walikuwa ni opportunists.

Mapungufu ya mafundisho ya kanisa la sda ni haya:

1) Shetani na malaika zake hawa kuanguka kabla ya wiki ya uumbaji. Kwa sababu malaika wote (including Lucifer, ambae baadae ali muasi Mungu) waliumbwa siku ya pili ya wiki ya uumbaji.

2) Hakuna viumbe wengine kama binadamu kwenye sayari nyingine (kama sda wengi wanavyo fundisha).

3) "The Day of Atonement" ni tofauti na "the Day of Judgment". New tastement fulfilment of the Day of Atonement inaanza baada ya kufufuka na kupaa kwa Bwana Yesu, na inaisha at the end of probation period (karibia kabisa na ujio wake wapili).

Sanctuary linalokuwa cleansed in 1844, ni kanisa huku duniani. Mafundisho ya kweli (including the 10 commandments, and the seventh day sabbath) yanarudi kanisani, na mafundisho ya uongo yanaondolewa.

4) Wabatize kwa staili waliyoitumia mitume wa Yesu, mtu ana inama kidogo kwa mbele, huku amesimama, huku akidumbukia kabisa kwenye maji. Wasibatize kwa staili ya mtu kalala kwa mgongo, wana mshika na kumdumbukiza kwenye maji.

5) Wasi wapinge sda wenzao, wanao sema kwamba Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles. Kwa sababu kiukweli Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

6) Wakubali kwamba hawa hodhi ukanisa wa kweli, na kwamba endapo kuna wasabato wanaofuata biblia ambao sio sda, wasabato hao hawana tatizo.

7) Waumini wa sda wawe pia na tabia nzuri kwenye maisha yao.

8) Baadhi ya mafundisho ya mama Ellen White ni maoni yake, na sio vitu alivyo viona kwenye maono (visions). Kwa hiyo baadhi ya mafundisho yake yanaweza yasiwe sahihi. Of course mama Ellen White yuko sahihi kwenye mafundisho yake mengi.

9) Ni vizuri wakristo weusi wakajua prophesies mbali mbali za kwenye Biblia, zinazo ongelea kuhusu injili kuja Afrika. Wakristo weusi, tu avoid a white/Eurocentric view of the bible, na tuwe na a true view of the Bible, which is a biblical centric view of the bible. Wakristo weusi tujaribu pia kuwa na makanisa huru yanayojitegemea (tushirikiane na watu wengine, lakini tusiwe tegemezi kwa watu wengine).

Sda wako sahihi kabisa kabisa kabisa kwamba sabato ni siku ya saba (Jumamosi), na kwamba Bwana Yesu Kristo hakubadilisha siku ya sabato. Na kwamba mpinga Kristo ndiye aliebadilisha siku ya sabato kutoka siku ya saba kwenda siku ya kwanza ya wiki.

Moral of the story ni: Mkristo yeyote anatakiwa kusikiliza mafundisho yanayoendana na biblia, usisikilize mafundisho ambayo hayafuati mafundisho ya biblia (hata kama ni mafundisho ya dhehebu lako).

So injili ya kweli, ni kwamba Utatu Mtakatifu upo, amri 10 zipo (hazikubadilishwa), sabato ni siku ya saba (Jumamosi), tufuate mafundisho ya Bwana Yesu Kristo kama Biblia inavyosema, na Biblia ni kitabu kitakatifu cha YAHWEH (Mungu wa Biblia). Ukristo ndio dini ya ukweli, dini nyingine zote ni za uongo.

Any way tuendelee na shughuli zetu za maisha hadi siku ya mwisho ya dunia, wakati huo huo tukiendelea kumkumbuka Bwana Yesu Kristo hadi siku hiyo atakapo rudi.
 
The 1844 AD date, as the end of the 2,300 years mentioned in the book of Daniel is a wrong date.

The accurate date (of the end of the 2,300 years) is 1798 AD.

And whatever the accurate date is, 'unto 2,300 days then shall the sanctuary be cleansed', means, after 2,300 days, have passed, the church in the earth shall then be cleansed from the errors of the little horn that polluted the sanctuary of strength (that polluted the church).

The beginning dates of the 70 weeks prophecy (490 years prophecy) and the 2,300 days prophecy (2,300 years prophecy), mentioned in the book of Daniel, are not the same, they are different.

The years, 2,300, 1335, 1,290 and 1,260, all end on 1798 AD. But they all begin on different years.


503 BC + 2300 + 1 (as there is no 0 BC or 0 AD) = 1798 AD

Unto 2,300 years, then shall the sanctuary be cleansed (the church in earth shall be cleansed from the pollutions of the little horn).

The 2,300 days (2,300 years) prophecy (of the book of daniel) begins at 503 BC, this is 16 years after the decree of Darius in 519 BC. This is also 34 years after the decree of Cyrus in 537 BC.

503 BC is also 12 years after the Jews finished building the temple in 515 BC.

503 BC is also 499 years before the birth of the Lord Jesus Christ. The Lord Jesus Christ was born in 4 BC.

The 2,300 years begins in 503 BC and ends in 1798 AD.

In 503 BC, Darius (via his cousin Artaphernes, who was the Persian empire's governor of Ionia) sent 200 ships to attack Naxos. He cooperates with Aristagoras, the Melesian, the governor of Meletus.

In 502 BC, Aristagoras the Melesian, rebels against Darius.

According to Ussher's "The Annals of the World", this is the beginning of the conflict between the Persians and the Greeks, that eventually led to the destruction of the Persian empire.


Daniel's 70 week prophecy (490 year prophecy) starts at 457 BC, with the decree of king Artaxerxes to Ezra. And ends in 34 AD, with the stoning of Stephen.

The 2,300 years end in 1798 AD. After 1798 AD, the church in the earth shall be cleansed from the pollutions of the little horn.

The little horn which polluted the sanctuary of strength, meaning it polluted the church in the earth, and thought to change the times and the laws, and took away the perpetual covenant, and set up the abomination that maketh desolate.

The church in the earth shall be cleansed from the religious errors of the papacy. It shall also be clear to the church in the earth that the seventh day is the legitimate sabbath day, and not the first day of the week.

And that the 10 commandments were not changed even in the new testament era. The seventh day starts from sunset Friday and ends at sunset Saturday. Sunday is not the sabbath day.

The French captured the pope in 1798 AD, and the temporal power of the pope was abolished in 1798 AD.

433 AD + 30 + 1335 = 1798 AD

463 AD + 1335 = 1798 AD

433 AD, Sixtus III was pope. He supported the decision of the first council of Ephesus (which ended in July 431). The council declared that 'the virgin Mary is the mother of God'.

After 30 years

463 AD, Hilarius was pope, he continued the policy of his successor pope Leo I, of enhancing the primacy of the bishop of Rome within the church.

When Leo I was pope, he claimed to be the bishop of the universal church, that is the bishop of the entire church in the world, the primacy of the bishop of rome within the church is enhanced).

508 AD + 30 years = 538 AD

538 AD + 1260 years = 1798 AD

The 1335 years start at 463 AD and ends in 1798 AD.

1335 may reflect redemption. The redemption money was 1365 shekels (Numbers 3:49-51).

433 AD is 1365 years before 1798 AD.


1365 years are not directly mentioned in the book of Daniel, but they show that there will be redemption after they have ended. 1365 shekels was the redemption money in the book of numbers. 30 + 1335 = 1365. 1335 days (1335 years) are directly mentioned in the book of Daniel.



475/476 AD (the collapse of the Western Roman empire into 10 kingdoms, 10 horns).

33 years later

508 AD (Symmachus was pope, the primacy of the papacy in temporal affairs enhanced, Clovis' baptism, Clovis defeats Alarac).

30 years later

538 AD (Vigilius was pope, begins the 1,260 years of papal supremacy).

1,260 years later

1798 AD (the 1,260 years of papal supremacy end, with the capture of the pope, by the French general Berthier, the papacy receives a deadly wound).


The papal wound starts to heal consistently from 1929, until today.

Thus the 1844 AD date, as the end of the 2,300 years mentioned in the book of Daniel is a wrong date.

The accurate date (of the end of the 2,300 years) may be 1798 AD.

And, 'unto 2,300 days then shall the sanctuary be cleansed', means, after 2,300 years have passed, the church in the earth shall then be cleansed from the errors of the little horn that polluted the sanctuary of strength (that is, that polluted the church).

It did not mean the end of the world.

It did not mean the beginning of the 'investigative judgment'.

And it did not mean the Lord Jesus Christ moving into the most holy place in heaven.

The Lord Jesus Christ moved into the most holy place in heaven, after his ressurection and ascension, in 31 AD. AND NOT IN 1844 AD.
 
Huyu ni critic mwingine wa egw.

Huko mwanzoni mwa page kuruke kabisa kabisa, kwa sababu anapinga mafundisho ya ukweli ya Biblia.

Nenda katikati ya page, anza pale kwenye heading ndogo ya 'A blow to the head'. Ana hisi kwamba labda egw alikuwa anajua mambo ya occult.

 
Miaka 2,300, miaka 1335, miaka 1290 na miaka 1260, iliyotajwa kwenye kitabu cha nabii Daniel, yote inaishia mwaka 1798.

Yote ina anzia nyakati tofauti, lakini yote ina ishia mwaka 1798.

Miaka 2,300 ina anzia 503 BC.

503 BC + 2300 + 1 (tunaongeza mwaka 1, kutoka BC hadi AD, kwasababu, hakunaga 0 BC au 0 AD) = 1798 AD.

Miaka 1335 ina anzia 463 AD.

463 AD + 1335 years = 1798 AD.

Miaka 1290 ina anzia 508 AD.

508 AD + 1290 years = 1798 AD.

Miaka 1260 ina anzia 538 AD.

538 AD + 1260 years = 1798 AD.


Miaka 490 iliyotajwa kwenye kitabu cha Daniel (wiki 70, ambazo ni siku 490, ambazo ni, miaka 490) ina anzia 458 BC, kwenye decree/amri ya mfalme Artaxerxes wa himaya ya Uajemi, aliyompatia Ezra. Na ina ishia mwaka 33 AD, ambapo Stephen alipigwa mawe na wayahudi wasioamini injili ya Bwana Yesu Kristo. Na hivyo injili ya Bwana Yesu Kristo kuanza rasmi kupelekwa kwa mataifa.

458 BC + 490 years + 1 (tunaongeza mwaka 1, kutoka BC hadi AD, kwasababu, hakunaga 0 BC au 0 AD) = 33 AD.

Bwana Yesu Kristo, aliteswa, alisulubiwa, alikufa, alizikwa kaburini, alifufuka kutoka katika wafu, alipaa kwenda mbinguni, mwaka 30 AD. Roho Mtakatifu alishuka siku ya Pentekoste, mwaka 30 AD.

Mwaka 2030 AD, ni miaka 2000 ya injili kuhubiriwa kwa mataifa yote duniani, ikianzia Jerusalem.


Kwahiyo, adventists (na sda), walikosea pale waliposema kwamba mwaka 1844, ulikuwa mwaka wenye maana ya kinabii, kwasababu waliamini kimakosa kwamba miaka 2,300 ina ishia mwaka 1844.

Walikosea kwenye kupiga mahesabu ya miaka, na pia walikosea kwenye maana ya unabii wa kinachotokea mwishoni mwa hiyo miaka 2,300.

Mwaka 1844 haukuwa mwaka wenye maana ya kinabii. Na hivyo hawakutakiwa kutegemea tukio lolote la kinabii kutokea mwaka huo.

Mwaka 1798 AD ndio ulikuwa mwaka wenye maana ya kinabii. Kanisa huku duniani lilianza kusafishwa mwaka huo (unto 2,300 days, then shall the sanctuary be cleansed, here one day represents one year).

Pia wafaransa walimchukua mateka mnyama wa Ufunuo 13, mwaka 1798 AD (mnyama huyu alipata jeraha la mauti mwaka 1798 AD), na hivyo watakatifu, waliokolewa kutoka mikononi mwa mnyama huyo, mwaka huo, baada ya kuwa mikononi mwake kwa miaka 1,260. Mnyama ni ufalme wa kidini wa mpinga kristo.

Nguvu za ufalme wa mnyama, zinatarajiwa kurejea kikamilifu (jeraha lake la mauti linatarajiwa kupona kabisa) miaka kadhaa kutoka sasa. Probably in 2026 AD.

Bwana Yesu Kristo anatarajiwa kurudi baada ya mwaka 2030 AD.

Hatujui kama atarudi mwaka huo au miaka michache baada ya mwaka huo au miaka mingi baada ya mwaka huo.

Kwa kipindi cha miaka 3.5 kabla ya kurudi kwa Bwana Yesu Kristo; ushuhuda wa kweli wa Biblia utakuwa 'umekufa' (mashahidi wawili watakuwa wamekufa), baada ya kuwa umeshambuliwa na mnyama ambae atakuwa amepona jeraha la mauti (Ufunuo 11:7-10).

Na chapa ya mnyama itakuwa inatawala bila ushindani, kutoka kwa ushuhuda wa kweli wa Biblia ulio hai, kwenye kipindi hicho cha miaka 3.5.

Kwenye kipindi hicho cha miaka 3.5 hao mashahidi wawili watakuwa wamekufa, lakini ushuhuda wao utaendelea kukumbukwa, kwahiyo watakuwa bado wanashuhudia, ingawa watakuwa wamekufa.

Chapa ya mnyama ni mafundisho ya uongo ya kidini, ambayo yanadhaniwa kuwa ni mafundisho ya kweli ya kikristo, lakini kiukweli na kiuhalisia, yanapingana na injili ya kweli ya Bwana Yesu Kristo, na pia yanapingana na amri 10 za Mungu (Kutoka 20:1-17).

Mji wa kiroho wa Babeli, ulianza kuwepo duniani, toka pale Adam na Hawa, walipokula tunda la kujua mema na mabaya. Uliendelea kuwepo baada ya gharika ya Noah, pale Nimrod na wenzake walipoanza kujenga mnara wa Babeli. Mji wa kiroho wa Babeli utachomwa moto kabisa, pale Bwana Yesu Kristo atakaporudi mara ya pili, na pia dunia yote itachomwa moto wakati huo. Wakati huo, Bwana Yesu Kristo atawachukua watakatifu walio kufa (atawafufua wakati huo) na walio hai, na atawapeleka mbinguni, na kukaa nao mbinguni miaka 1,000.

Kwenye kipindi hicho cha miaka 1,000 dunia itakuwa imekaa katika hali ya kuharibika, baada ya kuchomwa moto na Bwana Yesu Kristo pale aliporudi mara ya pili.

Miaka 1,000, baada ya ujio wa pili wa Bwana Yesu Kristo, dhana ya mji wa kiroho wa Babeli (dhana ya mji wa kiroho, na sio mji wa kiroho wenyewe) itaharibiwa kabisa, na kupotea kabisa, na haitarudi tena. Ufufuo wa pili utakuwa umetokea kipindi hiki, watu waovu ndio watakao shiriki kwenye ufufuo wa pili, na waovu watachomwa moto na kuteketea kabisa kipindi hiki, baada ya kushiriki kwenye ufufuo wa pili, na baada ya hukumu, itakayotolewa kwenye ile siku kubwa ya mwisho ya hukumu.

Na Mungu ataumba mbingu mpya na dunia mpya, na Jerusalem mpya utashuka kuptoka mbingu mpya na kuja kwenye dunia mpya.

Note that, watakatifu 144,000 walitiwa muhuri wa kiroho wa Mungu wa kweli, kipindi cha Bwana Yesu Kristo na kipindi cha mitume (apostles) wa Bwana Yesu Kristo, na hawa wote 144,000 ni waisraeli (wa enzi zile) walioamini injili ya Bwana Yesu Kristo.

Wakristo kutoka mataifa (gentiles walio na wanao amini injili ya kweli ya Bwana Yesu Kristo), ambao sio waisraeli (wa enzi zile) nao pia wanapigwa muhuri wa kiroho wa Mungu wa kweli (mpaka pale dunia hii itakapoisha), lakini wao sio sehemu ya wale 144,000.

Kipindi hiki, hakuna apostles, kwasababu, apostles ni cheo cha juu kabisa ndani ya kanisa. Na pia, criteria ya kuwa apostle ni watu waliomwona Bwana Yesu tangu alipoanza kuhubiri injili, hadi alipopaa mbinguni. Na Bwana Yesu Kristo ndio aliwachagua kuwa apostles.

Paul ni exception, na huenda Paul pia aliwahi kumwona na kumsikia Bwana Yesu Kristo, wakati akiwa duniani, ingawa wakati huo Paul alikuwa haamini injili ya Bwana Yesu Kristo. Na pia apostle ni lazima ilikuwa awe ni muisraeli (wa enzi zile) alieamini injili ya Bwana Yesu Kristo.

Kwahiyo, ukisikia siku hizi, mtu au kiongozi wa kidini anajiita apostle (mtume) wa Bwana Yesu Kristo, ujue kuna uwezekano mkubwa sana kwamba anadanganya; kiukweli yeye sio apostle (mtume) wa Bwana Yesu Kristo.

Pia ukisikia, siku hizi, mtu anajiita yeye ni nabii wa Bwana Yesu Kristo, ujue kuna uwezekano mkubwa sana kwamba anadanganya; kiukweli yeye sio nabii (prophet) wa Bwana Yesu Kristo.

Nabii ni cheo kikubwa cha pili kwenye kanisa baada ya cheo cha apostle. Cheo cha apostle ni cheo cha kwanza, nabii ni cheo cha pili ndani ya kanisa.

Nabii anatakiwa aishike na kuifundisha injili ya kweli ya Bwana Yesu Kristo, pamoja na amri 10 za Mungu (pamoja na sabato ya siku ya saba). Pia nabii huwa anawasiliana na Roho Mtakatifu. Na kutokana na hili, nabii pia huwa anayajua vizuri sana sana maandiko matakatifu ya Biblia. (Note that mtu anaweza kuyajua vizuri sana sana maandiko matakatifu ya Biblia, bila ya kuwa nabii na bila ya kuwa mtume).

Pia Bwana Yesu Kristo na Roho Mtakatifu ndio wanaompa mtu hiko cheo cha unabii, au hiyo karama ya unabii. Na sio mtu husika kujiteua mwenyewe kuwa nabii.

Mkristo wa kweli (kutoka mataifa) ambae sio muisraeli (wa enzi zile) anaweza kuwa na cheo cha unabii au karama ya unabii.

Mama Ellen White (wa sda), hakuwa na cheo cha unabii, na hakuwa na karama ya unabii, kama alivyokuwa akisema. Alikuwa anavunja amri ya 9 (Usimshuhudie jirani yako uongo, ikimaanisha pia, usitoe ushuhuda wa uongo), na pia alikuwa anavunja amri ya 3 (Usilichukulie bure jina la BWANA Mungu wako, ikimaanisha mambo mengi, na pia ikimaanisha, usilitumie jina la BWANA Mungu wako, kutoa unabii wa uongo). Na pia kwenye baadhi ya mafundisho yake (na kwenye baadhi ya visions zake na dreams zake), amepingana na mafundisho ya kweli ya Biblia.
 
Mungu wa Biblia (YAHWEH), aliumba mbingu na dunia (na vyoote vilivyomo, including malaika wote) in 4005 BC, mwezi wa kwanza wa kibiblia (unaoitwa pia Abib au Nisan). In around March to April kwenye kalenda yetu ya kawaida.

Adam na Hawa walikula tunda la kujua mema na mabaya, walipokuwa na miaka 30. Wali ishi bustani ya Eden kwa miaka 30.

Bwana Yesu Kristo (Bwana Yahushua Mashiach) alizaliwa 5 BC, siku ya 15 ya mwezi wa saba wa kibiblia, siku hii ilikuwa siku ya kwanza ya the Feast of Tabernacles. In around mwezi September to October kwenye kalenda yetu.

Bwana Yesu Kristo alibatizwa na Yohana Mbatizaji, siku ya Pentekoste, mwaka 26 AD.

Pentekoste ni siku ya 6, ya mwezi wa 3 wa kibiblia. Punde baada ya kubatizwa alienda nyikani siku 40, ambapo alijaribiwa na Shetani. Bwana Yesu aliyashinda majaribu ya Shetani.

Siku ya Pentekoste huwa ina angukia kati ya mwezi May na June kwenye kalenda yetu ya kawaida.

Siku ya 10, ya mwezi wa saba, wa kibiblia (on the day of Atonement), 26 AD, Bwana Yesu alihubiri Luka 4:18. Akitangaza Jubilee. Mwaka 26 AD ulikuwa mwaka wa Jubilee. Bwana Yesu Kristo alikuwa about 30 years of age, wakati huu.

26 AD ni miaka 483, toka 458 BC. Ni mwanzo wa 'wiki ya 69 ya Daniel'. Mwaka 458 BC, mfalme Artaxerxes alitoa decree kwa Ezra.

Miaka 490 inaishia mwaka 33 AD, ambapo Stefano aliuawa.

Bwana Yesu Kristo alisulubiwa katikati ya 'wiki ya 70 ya Daniel'.

Bwana Yesu Kristo alisulubiwa siku ya 14 ya mwezi wa kwanza wa kibiblia (siku ambayo kondoo wa Pasaka alikuwa anauawa), Ijumaa, mwaka 30 AD; na kufa na kuzikwa, alifufuka siku ya 3, Jumapili; na alipaa mbinguni na amekaa mkono wa kuume wa Mungu Baba, toka huko atakuja kuwa hukumu wazima na wafu.

Utatu Mtakatifu wa Mungu (The Holy Trinity) upo na ni kweli kabisa.

Mwaka 2026 AD ni miaka 2,000 tangu 26 AD.

Pia 2026 AD ni around miaka 6,000 tangu Adam na Hawa walipokula tunda la kujua mema na mabaya.

Mwaka 2030 AD ni miaka 2,000 tangu 30 AD.

Pia mwaka 2030 AD, ni miaka 2000 baada ya ujio wa Roho Mtakatifu, kwa wanafunzi wa Bwana Yesu, kwenye siku ya Pentekoste, in 30 AD.

Miaka 1260, 1290, 1335 na 2,300 (iliyotajwa kwenye kitabu cha Daniel) yoote inaishia mwaka 1798 AD. Ina anzia nyakati tofauti, lakini yoote inaishia 1798 AD.

Siku ya saba ya wiki (sabato), ndio siku ya kweli ya ibada, kwa Wakristo, kwenye Agano Jipya.

Siku ya saba ina anza jua linapozama Ijumaa jioni na kuisha jua linapozama Jumamosi jioni.

Usipoteze muda wako kwenda kwenye makanisa yanayosema kwamba ni ya kisabato, kuna mambo muhimu sana watakupotosha.

Baki kwenye kanisa lako.
 

tulikubaliana uni-tag ukibandika nondo fikirishi kama hizi!

NAKAZIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…