Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

Mods naomba mbadilishe heading isomeke "Paloma afiwa na mama yake mkubwa"..

Maana balaa..
 
Pole sana palomo. Msiba upo lushoto sehemu gani? sosoliso plz nitumie namba yako au ya mkeo ili niende msibani hapo kesho.

Mazishi yatafanyika Mtae YNNAH.. Ila Paloma hajisikii vzuri cna uhakika kama ataondoka hiyo asubuhi..
 
Last edited by a moderator:
Huuuuiii kumbe Paloma ni ndugu yangu kabisa? Poleni nimetuma ujumbe huko Mlalo-Lushoto kwenye msiba. Mke wangu ataenda
 
Last edited by a moderator:
Pole sana swahiba Paloma. Mungu ampumzishe kwa amani.
 
Last edited by a moderator:
Paloma,

Poleni sana Mungu awape faraja.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…